Huo Ugomvi hautaisha leo wala Kesho ndio maana nilisema humu muangalieni huyo DAB muangalieni kwa makini, kuna wakina Allen Kilewella wakaja hapa eti wanasema kwamba nini? We Allen Kilewella ulisemaje kuhusu DAB?Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
DAB analijua hilo basiKatibu Mkuu Kiongozi anapaswa kuongea nae.
Akiiachia, atakuja kiongozi ambae atafunga namba za gari lake rasmi kwenye Bajaji.
Amandla...
Ukiunga mkono CCM ndio umeunga mkono yote hayo, kwani hao unaowqunga mkono lini wamekemea huu ujinga, si hapa tu, kuna mwaka enzi akiwa ni RC kuna gari alikuwa nayo sina kumbukumbu vizuri sijui ni range ile aliiwekea number plate ya namna kama hiyo.Siungi mkono upuuzi huu wa Bashite
Ignorance sio excuse. Katibu Mkuu Kiongozi anapaswa kujua na kuchukua hatua. Ni wajibu wake kuwaelimisha wasio jua.DAB analijua hilo basi
Hivyo vyombo vimejaa wezi watupu.View attachment 3543628
Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
DAB atasemaa yeye ni yupo juu ya huyo KMK kwa hio yeye anafanya anavyojisikia na hakuna wa kumwambia kitu, niliwaambia kuweni makini na DABIgnorance sio excuse. Katibu Mkuu Kiongozi anapaswa kujua na kuchukua hatua. Ni wajibu wake kuwaelimisha wasio jua.
Amandla..
Mnamuonea wivu Mh waziri..View attachment 3543628
Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
Watu wako hao unawapigania humu mpaka unataka kututoa machoUnaweza kumtoa Bashite kutoka Kolomije, lakini huwezi kuitoa Kolomije kichwani mwake
hakuna tusi hapo kwani makonda hata matakoHuyo sugu lazima atukane
DAB analijua hilo basi
Bashite sio kijanaNdio shida yetu vijana, tunaaminiwa, tunapendwa na tunapewa madaraka. Badala ya kufanya mambo ambayo yataonesha uwezo wetu mpaka kuzipa sifa mamlaka zetu za uteuzi, tunaanza kufanya utoto ambao unaishia kuzipa wakati mgumu mamlaka za teuzi zetu. Kwani Mh. angetembea tu na namba za kawaida kwenye gari yake angepunguza nini? Kuna kelele nyingine tunazitafuta wenyewe bila sababu za msingi.
Hapo ndipo penye tatizo. KMK kiutendaji ni mkubwa kwake. Kama KMK anajiamini na Boss wao wote anamuamini hakuna kitu ambacho DAB au mwingine anaweza kufanya. Makatibu Wakuu na Ma RAS wa zamani walikuwa wanawafunga sana breki mawaziri na wakuu wa mikoa. Wao ndio watendaji na wanaosimamia matumizi na nidhamu, sio hawa wanasiasa. Kinachosikitisha ni kama wamekabidhi mamlaka na wajibu huo kwa wanasiasa.DAB atasemaa yeye ni yupo juu ya huyo KMK kwa hio yeye anafanya anavyojisikia na hakuna wa kumwambia kitu, niliwaambia kuweni makini na DAB
Nyamitako anaringia hilo sambwanda lake ambalo mzee six ndiye alikata seal.View attachment 3543628
Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
Kibenten cha maza huyo haguswi na mtu.Ndio shida yetu vijana, tunaaminiwa, tunapendwa na tunapewa madaraka. Badala ya kufanya mambo ambayo yataonesha uwezo wetu mpaka kuzipa sifa mamlaka zetu za uteuzi, tunaanza kufanya utoto ambao unaishia kuzipa wakati mgumu mamlaka za teuzi zetu. Kwani Mh. angetembea tu na namba za kawaida kwenye gari yake angepunguza nini? Kuna kelele nyingine tunazitafuta wenyewe bila sababu za msingi.