Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

Ndio. Na wakanywea. Lakini JPM asingeweza kujitangazia mwenyewe matokeo. Tume ya Uchaguzi ilitakiwa kutoa tamko kupinga agizo hilo lakini kimyaa. Hapo mwenye matatizo sio Magufuli bali yule aliyekataa kutangaza kuwa mgombea wa upinzani ameshinda.

CAG Assad alikataa kuburuzwa na mpaka leo anaheshimiwa.

Amandla...
Kiufupi hao watendaji/wataalamu kwa Sasa hawana uwezo wa kupingana na mamlaka ya kisiasa iliyowateua.
 
Uwezo wanao, Mkuu, ila hawana nia. Hawana nia kwa sababu wanapenda vyeo vyao kuliko integrity yao. Wanasiasa wana mamlaka ya kuwanyang'anya wengi wao vyeo vyao kwa sababu wengi wao wameteuliwa nao. Ila watu kama majaji na CAG hawana sababu ya kuwa na hofu hiyo maana sio rahisi kutimuliwa na wanasiasa.

Amandla...
 
Mtu kama huyu anastahili kuwa gerezani na si kwingineko.

Kama serikali ya marekani ilimpiga "PERSONA NON GRATA" inakuwaje Leo mtu huyo huyo unamteua kuwa waziri katika serikali? Hiyo inaonesha kuwa serikali hiyo inakubaliana na uhalifu anaohusishwa nao! Watu wakisema Samia ni Fisadi na muuaji kwanini mnabisha?
AU wenzie walioshinda uchaguzi kwa uhalali walipongezwa yeye akabaki uso umemshuka kwa aibu bila kutambuliwa!! Hata uwajani alipokelewa na waziri wa kawaida tu!!! Aibu na soni!!
 
Kama serikali ya marekani ilimpiga "PERSONA NON GRATA" inakuwaje Leo mtu huyo huyo unamteua kuwa waziri katika serikali? Hiyo inaonesha kuwa serikali hiyo inakubaliana na uhalifu anaohusishwa nao! Watu wakisema Samia ni Fisadi na muuaji kwanini mnabisha?
Naam na hata haipaswi kuitwa serikali bali "genge" la wahalifu lilokosa dhamana ya wananchi badala yake linatumia mtutu wa bunduki kuwatawala watu kimabavu maana kama mtu ametajwa kama muuaji na mwizi na anakumbatiwa na kundi fulani basi hilo kundi nalo lina tabia kama zake.
 
😂😂😂😂😂😂😂
You got me the wrong way. Constructive criticism ni pale unapomkosoa hata yule unayemkubali pale anapokosea. Siyo kuunga mkono kila kitu au kupinga kila kitu.

Mbona nina threads nyingi tu za kukosoa utawala wa Awamu ya 6??
 
Umeanza kuwa na akili.

Hongera.
 
pengine katumia kwa usalama wake ,tuhoji ni la kwake au la kukodi
 
Back
Top Bottom