Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

Bashite sio kijana
 
DAB atasemaa yeye ni yupo juu ya huyo KMK kwa hio yeye anafanya anavyojisikia na hakuna wa kumwambia kitu, niliwaambia kuweni makini na DAB
Hapo ndipo penye tatizo. KMK kiutendaji ni mkubwa kwake. Kama KMK anajiamini na Boss wao wote anamuamini hakuna kitu ambacho DAB au mwingine anaweza kufanya. Makatibu Wakuu na Ma RAS wa zamani walikuwa wanawafunga sana breki mawaziri na wakuu wa mikoa. Wao ndio watendaji na wanaosimamia matumizi na nidhamu, sio hawa wanasiasa. Kinachosikitisha ni kama wamekabidhi mamlaka na wajibu huo kwa wanasiasa.

Amandla...
 
Kibenten cha maza huyo haguswi na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…