Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

Kama ni gari lake hamna shida! Ila kama ametumia fedha za serikali kununua hilo gari akamatwe haraka! Serikali ina-standard ya kutumia V8 tu! Kwa viongozi wa juu.! Na kama kuna harufu ya ufisadi bac PCCB wafanye kazi yao
 
Bashite hawezi kufika popote, anao maadui wa kutosha humo ndani kumzuia.
Timu Msoga, Madelu na Nchimba hawatataka ya jiwe yajirudie wateseke tena.
 
Makonda akija kua Rais, comdey zake zitakua za hali ya juu sana na heka heka kibao...


Cc: Mahondaw
 
Ukiunga mkono CCM ndio umeunga mkono yote hayo, kwani hao unaowqunga mkono lini wamekemea huu ujinga, si hapa tu, kuna mwaka enzi akiwa ni RC kuna gari alikuwa nayo sina kumbukumbu vizuri sijui ni range ile aliiwekea number plate ya namna kama hiyo.
Ilikuwa Toyota Lexus
 

Anaonesha kuwa serikali ya Samia imo mfukoni mwake!! Aibu kubwa sana kwa wanaume wa Tanganyika.
Msisahau kuwa huyu ndio alikuwa kiongozi wa kundi la wauaji enzi ya Magufuli; alihusika na jaribio la kutaka kumuua Lissu kwa kumpiga risasi na hata hiva sasa Samia anamtumia kwa kazi hiyo hiyo!!
Serikali ya Samia inaamini kuwa njia ya kuwanyamazisha wanaokuwa na maoni tofauti nao ni kuwaua tu hivyo basi msijeona ajabu kuwa hata hivi sasa wanaweza kuwa na mpango wa kumyamazisha Lissu akiwa gerezani!! You can call it a conspiracy theory but these wahuni are capable of very hineous deeds! Kumbukeni waliua mamia ya watoto wetu na ndugu zetu na kuwafukia kama wanyama na mpaka sasa bado wanapindisha shingo tu!
 
Bashite hawezi kufika popote, anao maadui wa kutosha humo ndani kumzuia.
Timu Msoga, Madelu na Nchimba hawatataka ya jiwe yajirudie wateseke tena.
Plus fact kwamba mara nyingi Rais atokaye siyo rahisi ku influence mrithi wake. Kadri siku zinavyokaribia kuisha ndiyo nguvu ya Rais anayetoka inazidi kupungua
 
Kama ni gari lake hamna shida! Ila kama ametumia fedha za serikali kununua hilo gari akamatwe haraka! Serikali ina-standard ya kutumia V8 tu! Kwa viongozi wa juu.! Na kama kuna harufu ya ufisadi bac PCCB wafanye kazi yao
SIdhani kama ina ruhusiwa kuweka namba plate ya serikali kwenye gari lako binafsi. Namba plate ya ofisi ina maanisha kuwa hilo gari ni mali ya serikali.

Amandla...
 
Mamlaka ya mwisho yapo kwa wanasiasa siku zote na sio hao wataalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…