Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Wanasiasa hawasaini hata mkataba. Hata hundi hawasaini. Hawawezi kumtia adabu mtumishi wa umma bila kupitia kwa accounting officer wake. Waziri hana mamlaka hata ya kumhamisha kituo mtumishi bila kupitia kwa Katibu Mkuu.Malipo yote ni lazima waidhinishe ma accounting officers.Mamlaka ya mwisho yapo kwa wanasiasa siku zote na sio hao wataalamu
Tanzania's corruption control ranking has averaged 96.25 from 1998 to 2025, reaching a high of 126.00 in 2009 (Kikwete)and a low of 71.00 in 2002 (JPM).View attachment 3543628
Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
Haya yote wanasiasa wanaweza kuyafanya kupitia kwa hao hao wataalamu wakitaka.Wanasiasa hawasaini hata mkataba. Hata hundi hawasaini. Hawawezi kumtia adabu mtumishi wa umma bila kupitia kwa accounting officer wake. Waziri hana mamlaka hata ya kumhamisha kituo mtumishi bila kupitia kwa Katibu Mkuu.Malipo yote ni lazima waidhinishe ma accounting officers.
Hapa ndipo mzungu alitupiga changa kutuletea utawala wa aina hii.TumekwishaMamlaka ya mwisho yapo kwa wanasiasa siku zote na sio hao wataalamu
Ni kwa sababu watendaji wamewaachia. Hata hapo umekiri kuwa ni lazima wapitie kwa watendaji.Haya yote wanasiasa wanaweza kuyafanya kupitia kwa hao hao wataalamu wakitaka.
Wanasiasa ndio wenye kauli ya mwisho hapa nchini kwa Sasa elewa hilo.
Kwa hiyo tatizo lipo kwa watendaji au wanasiasa?...Ni kwa sababu watendaji wamewaachia. Hata hapo umekiri kuwa ni lazima wapitie kwa watendaji.
Amandla...
Usemacho kina ukweli, lakini hadi anafikia kuweka namba za uwaziri kwenye gari binafsi na wote wako kimya, huoni anaweza kuwapiga bao? Ingekuwa kwa sasa ccm kura ndio zinaamua nani awe kiomgozi wangalau, lakini huu mchezo wa kushinda 100%, na anayepanua mdomo anatekwa ama kuuwawa chochote chawezekana.Bashite hawezi kufika popote, anao maadui wa kutosha humo ndani kumzuia.
Timu Msoga, Madelu na Nchimba hawatataka ya jiwe yajirudie wateseke tena.
Mtoto mpendwa anawasiwasi gani. Hivi unafikiri kupiganiwa huko kwa makonda na mama ni jambo la kawaida! Ukitaka kujua makonda yuko tofauti, waziri mwingine ajaribu kufanya hivyo. Katika nchi hizi za kijima vyeo vya umma ni fursa za kufikia ndoto zetu tunazo ziota katika maisha yetu tukiwa mafukara.Ndio shida yetu vijana, tunaaminiwa, tunapendwa na tunapewa madaraka. Badala ya kufanya mambo ambayo yataonesha uwezo wetu mpaka kuzipa sifa mamlaka zetu za uteuzi, tunaanza kufanya utoto ambao unaishia kuzipa wakati mgumu mamlaka za teuzi zetu. Kwani Mh. angetembea tu na namba za kawaida kwenye gari yake angepunguza nini? Kuna kelele nyingine tunazitafuta wenyewe bila sababu za msingi.
Rais wa sasa nae alishasemaga hivyo hivyo hajawahi kuwaza kua Rais ila amekua Rais...Hawezi kuwa Rais kamwe. Ni hivyo tu
Tight whip hiyo 504 boys dah hatari sanaWe roll tight whips, everyday ,Bentley, Lex, Mercedes, and Escalades.
We leave the tags in the window, whodee,Cus it's worth about a 100,V12 with remote control (cha-cha) engine runnin.
Kwani hili ni la Elimu au maadili yamepiga chengaNje ya mada: Elimu ukiikosa, hata uwe nani, itaonekana tuu uliikosa. 😁
Hata uende ulaya, uwe na madaraka na fedha, bado gap ya elimu itaonekana tuu.
Umemaliza kabisa mkuu, watu wanatafuta mchawi wakati wao wenyewe ndiyo wachawi.Hizi Fancy life ndio zimechochea pakubwa kabisa kilichotokea October 29, Hawa Viongozi kwanini wanaonesha ufahari usio na maana kabisa Kwa Umma ambao majority ni masikini?
Tatizo ni uongozi mzima wa nchi hii kuanzia utosini hadi kwenye nyayo ni uozo mtupu kwa sababu hata hao ma accounting officer nao pia ni uozo tu maana wanateuliwa kishikaji hivyo wapo wapo tu ili siku ziende.Wanasiasa hawasaini hata mkataba. Hata hundi hawasaini. Hawawezi kumtia adabu mtumishi wa umma bila kupitia kwa accounting officer wake. Waziri hana mamlaka hata ya kumhamisha kituo mtumishi bila kupitia kwa Katibu Mkuu.Malipo yote ni lazima waidhinishe ma accounting officers.
Katibu Mkuu wa Wizara inayohusika anaweza kumkataza kiongozi kuweka namba pleti ya serikali katika gari lake binafsi. Katibu Mkuu anaweza kukataa kulipia hoteli au nyumba nyingine anayotumia kiongozi katika wizarq yake kama amejiridhisha kuwa kuna makazi mengine mazuri ya serikali. Waziri akileta ubishi anamshitaki kwa Katibu Mkuu Kiongozi ambae ndie mkuu wa civil service na mshauri Mkuu wa Rais katika mambo ya utawala.
Hawa ma accounting officers wana mamlaka makubwa sana. Wale ni watendaji na sio lazima wawe wataalamu.
Amandla...
Hatari na nusu mkuu 504 Boyz Master P ,Slikk The Socker!!Tight whip hiyo 504 boys dah hatari sana
Tatizo liko kwa watendaji. K.m. ni Mkurugenzi wa Uchaguzi ndie anahakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa haki, sio wanasiasa. Mwanasiasa hawezi kuvuruga uchaguzi bila ushirikiano wa watendaji ambao wako tayari kukiuka maadili ya taaluma/nafasi yao ili wamfurahishe.Kwa hiyo tatizo lipo kwa watendaji au wanasiasa?...
Lakini si unakumbuka kauli ya mwanasiasa JPM (Rip) kwa Wakurugenzi aliowateua kuhusu kumtangaza mgombea wa upinzani mshindi?..Tatizo liko kwa watendaji. K.m. ni Mkurugenzi wa Uchaguzi ndie anahakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa haki, sio wanasiasa. Mwanasiasa hawezi kuvuruga uchaguzi bila ushirikiano wa watendaji ambao wako tayari kukiuka maadili ya taaluma/nafasi yao ili wamfurahishe.
Ndio maana hata ikipatikana Katiba Mpya nzuri, bila kuwa na taasisi zinaongozwa na watu wenye weledi na integrity hapatakuwa mabadiliko yeyote.
Amandla...
Ndio. Na wakanywea. Lakini JPM asingeweza kujitangazia mwenyewe matokeo. Tume ya Uchaguzi ilitakiwa kutoa tamko kupinga agizo hilo lakini kimyaa. Hapo mwenye matatizo sio Magufuli bali yule aliyekataa kutangaza kuwa mgombea wa upinzani ameshinda.Lakini si unakumbuka kauli ya mwanasiasa JPM (Rip) kwa Wakurugenzi aliowateua kuhusu kumtangaza mgombea wa upinzani mshindi?..