Kiufupi hao watendaji/wataalamu kwa Sasa hawana uwezo wa kupingana na mamlaka ya kisiasa iliyowateua.Ndio. Na wakanywea. Lakini JPM asingeweza kujitangazia mwenyewe matokeo. Tume ya Uchaguzi ilitakiwa kutoa tamko kupinga agizo hilo lakini kimyaa. Hapo mwenye matatizo sio Magufuli bali yule aliyekataa kutangaza kuwa mgombea wa upinzani ameshinda.
CAG Assad alikataa kuburuzwa na mpaka leo anaheshimiwa.
Amandla...
Mtu kama huyu anastahili kuwa gerezani na si kwingineko.
Naam na hata haipaswi kuitwa serikali bali "genge" la wahalifu lilokosa dhamana ya wananchi badala yake linatumia mtutu wa bunduki kuwatawala watu kimabavu maana kama mtu ametajwa kama muuaji na mwizi na anakumbatiwa na kundi fulani basi hilo kundi nalo lina tabia kama zake.Kama serikali ya marekani ilimpiga "PERSONA NON GRATA" inakuwaje Leo mtu huyo huyo unamteua kuwa waziri katika serikali? Hiyo inaonesha kuwa serikali hiyo inakubaliana na uhalifu anaohusishwa nao! Watu wakisema Samia ni Fisadi na muuaji kwanini mnabisha?
πππππππchawa kajizuia weeeee kaona hapana kama mbwai na iwe mbwai.Hiyo ndio serikali unayoipigania na kuitetea humu jamvini muda wote kwa jasho na damu.
Amka..!
.
Taratibu unaanza kupata akili.Wenye hatia wako nje wanatamba na hela walizofisadi, wasio na hatia wako jela wanasota
πππππππUnaweza kumtoa Bashite kutoka Kolomije, lakini huwezi kuitoa Kolomije kichwani mwake
You got me the wrong way. Constructive criticism ni pale unapomkosoa hata yule unayemkubali pale anapokosea. Siyo kuunga mkono kila kitu au kupinga kila kitu.πππππππ
Umeanza kuwa na akili.You got me the wrong way. Constructive criticism ni pale unapomkosoa hata yule unayemkubali pale anapokosea. Siyo kuunga mkono kila kitu au kupinga kila kitu.
Mbona nina threads nyingi tu za kukosoa utawala wa Awamu ya 6??