Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Ramli choganishi

Huu ni wakati wa kila waziri achape kazi

Magufuli hajawahi kujipanga kuwa Raisi wala kutabiriwa uchapa kazi na usafi ndio ulimbeba

2015 aliwabwaga wachafu chafu mifisadi mijizi iliyokuwa na vyeo na network kubwa sababu haikuwa Michapa kazi na mijizi

Mtaka uraisi yeyote ahangaike kujenga Cv ya usafi na uchapa kazi unaokubalika na wananchi walio wengi sio wachache wenye nafasi za pesa au network yaani mtandao tu mbeleni patachimbika

Aweza ibuka mtu kama MAGUFULI ambaye wala hakujipanga kuwa Raisi akiwa mtandao hana na connection ndani ya chama na serikali hana wala mtandao inner circle hana kuliko wapinzani wake hana kipindi cha 2015 na akawa Raisi akawabwaga huko na pesa zao na mitandao yao na connections zao na exposure zao tupa kule akaibuka Raisi
 
Ramli choganishi

Huu ni wakati wa kila waziri achape kazi

Magufuli hajawahi kujipanga kuwa Raisi wala kutqbiriwa uchapq kazi na usafi ndio ulimbeba

2015 aliwabwaga wachafu chafu mifisadi mijizi iliyokuwa na vyeo na network kubwa sababu haikuwa Michael kazi na mijizi

Mtaka uraisi yeyote ahangaike kujenfa Cv ya usafi na uchapa kazi unaokubalika na wananchi walio wengi sio wachache wenye nafasi za pesa au network yaani mtandao tu mbeleni patachimbika

Aweza ibuka mtu kama MAGUFULI ambaye wala hakujipanga kuwa Raisi akiwa mtandao hana na connection ndani ya chama na serikali hana wala mtandao inner circle hana kuliko wapinzani wake hana kipindi cha 2015 na akawa Raisi akawabwaga huko na pesa zao na mitandao yao na connections zao na exposure zao tupa kule akaibuka Raisi
Kile kivuko kibovu nani alikinunua? Au huna taarifa?
 
Back
Top Bottom