Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Uwe wewe basiNchi hii si ya majaribio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe wewe basiNchi hii si ya majaribio
Ukiwa shetani lazma upate maono ya kuzimuNimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!
Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Nashauri apewe urais KANGI LUGOLA. .
Tatizo ni mhaya 😀😀Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!
Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Au mzee wa Jalalani Le Professor Car-Buddy.Nashauri apewe urais JOB NDUGAI au KANGI LUGOLA. Itakaa poa sana.
Si mmeamua kuliangamiza kabisa taifa, potelea pote, liwalo na liwe.
Kma sio maandazi kivipi JPM alipewa Urais na NEC wakijua kabisa anatumia betri kwenye moyo na hatoboi miaka 5!!?Urais si maandazi ya kugawana msibani.
Bado AnadaiHivi lukuvi umri umeshamtupa?
Ewaaa!. Nitakuwa mimi HAKIKA. Note the clause.Uwe wewe basi
Wala leo waondoka leo kuna ajali ya kisiasa inamkumba soonKanda pendwa vs Waja leo waondoka leo
Watu wa ukanda huo hawatakuja tena kupata fursa hiyo kwa kuwa Magufuli amewaribia. Haya majitu ya Biharamulo, Chato, Ngara na Karagwe yana DNA za Burundi na Rwanda. Hatutataki tenaNimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!
Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Kwa kuwa member humu nilidhani wewe pia ni critical thinker.. anyways, civics pia walitufundisha Kazi za makamu wa RAIS...au bado nikutafunie zaidi!?Swali sio alikua nani ? Bali alifanya nini ? Mkuu kwa ukurupukaji huo wa kujibu maswali hiynd civics haukupata mswaki kweli ?
Nashauri apewe urais JOB NDUGAI au KANGI LUGOLA. Itakaa poa sana.
Si mmeamua kuliangamiza kabisa taifa, potelea pote, liwalo na liwe.
Achana na makukumu ya makawa wa raisi bla bla, yeye Maushungi jambo gani kafanya lenye kumtambulisha kwa umma achana na kutaja nyadhifa.Kwa kuwa member humu nilidhani wewe pia ni critical thinker.. anyways, civics pia walitufundisha Kazi za makamu wa RAIS...au bado nikutafunie zaidi!?
Wananchi !!Amefanya Nini cha kipekee kwa nafasi alizokwosha tumikia hadi afikiriwe kuwa anaweza kuwa Rais, all in all wananchi titamuua mda ukifika