Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Innocent Bashungwa katengenezwa na nani? Nani kamwimbua?
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Bado unaamini katika ndoto au wewe ndiye Bashungwa au kakutuma. Hakuna anayeweza kujua ya kesho acha ujinga mwanangu
 
Mhaya hatakuja kuwa Rais Tanzania
Ushuuuzi mtupu kwani Mhaya si mtanzania? Ungejua kanda ya ziwa wote ni kabila moja lilopewa majina tofauti yaani wahaya, wakurya, wasukuma hata waha usingetoa utumbo huu. Hukkuwahi kumsikia Magu akitema kihaya kama hana akili nzuri au hujui?
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Picha yake tumjue tutakupa majawabu.
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.

Kwakua ni waziri wa jeshi au? Umepotea!
Rais ajae anatakiwa awe taipu ya anko magu siyo taipu ya kikwete!
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Kwa Katiba hii na muundo wa NEC hii hata Bambo akipitishwa na CCM anakuwa Rais saa nne asubuhi tu. Hadi sasa kura ya kwenye sanduku haina maana wala thamani katika nchi hii

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Tofautisha maono na ndoto
 
"..nchi inahitaji watu wa mchakamchaka siyo hawa "eti ooh naomba mkajitathimini..." what a********
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Kwaiyo uyo atawageuka kama magufuli? Nazani ni mpole na atakubali kuongozwa na wale wanao washwawashwa
 
Wanaandaliwa wawili.
Baahungwa na Riziwani

Wote hawa lazima wapite Tamisemi, Ofisi ya Rais utawala bora ambako Kuna wale jamaa wa suti nyeusi.

Lazima wapite Ulinzi na Foreign affairs kwa nyakati tofauti.

Ila naona rimoti ya msoga ilkifaulu zaidi kuchezesha mchezo vizuri, processor akiwa Mzee Kinana kwa ukaribu.

Walioko nje ya matazamio lkn wako ktk maandalizi kabambe Ni pamoja na Marope,na huyu anayekwapua pale hazina.
 
Back
Top Bottom