Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Yanatajwa kuwa na mkono wa mstaafuMabasi ya kampuni hiyo sio ya kupanda ni makafara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanatajwa kuwa na mkono wa mstaafuMabasi ya kampuni hiyo sio ya kupanda ni makafara.
Kiswahili kimeparamiwa Mkuukana kwamba hii ajali ilikuwa inasubiriwa kwa hamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
LEO HATIMAE WAMEPATA AJALI NYINGINE.Kampuni iyo ambayo imemaliza mwezi uliopita kwa mabasi yake 12 kupata ajali na kuua abiria wengi Mwezi huu wa 7 pia wameanza kwa kasi ya ajali
Leo hatimaye wamepata ajali nyingine kitonga na chanzo kikuu ni mwendokasi
Serikali wamegoma kuifungia hii kampuni
Ukachukua hatua gani Mkuu?Madereva wa Newforce wanaendesha magari bila kuzingatia usalama wa abiria na mali wana overtake za kipuuzi sana juzi nilipanda DZU ya Tunduma yaani dreva anaendesha gari kwa fujo pasipo kuzingatia sheria
Likud mutu wangu wa nguvu na waukweli nakuuliza kwa mara nyingine tena MATENDO MANONO yuko wapi? Au ulishamtoa kafara huyo mtoto wa dada yako. Nyie watutsi wapuuz sana.Fafanua
Duuhh Kitonga!! Hawajatumbukia kweli?Kampuni iyo ambayo imemaliza mwezi uliopita kwa mabasi yake 12 kupata ajali na kuua abiria wengi Mwezi huu wa 7 pia wameanza kwa kasi ya ajali
Leo hatimaye wamepata ajali nyingine kitonga na chanzo kikuu ni mwendokasi
Serikali wamegoma kuifungia hii kampuni
Wana matatizo makubwa sanaMadereva wa Newforce wanaendesha magari bila kuzingatia usalama wa abiria na mali wana overtake za kipuuzi sana juzi nilipanda DZU ya Tunduma yaani dreva anaendesha gari kwa fujo pasipo kuzingatia sheria
Hiyo ndo haraka ndo inayosababisha mharakie kabulinidah, itabidi niache kupanda new force😅
sema wako vizuri, mbeya-moro unapanda around saa 12, saa 5 umefika
Hii tabia siyo kwa Mtanzania, labda watanzania wa kizazi kingine.Hivi hiyo njia hakuna mabasi mengine zaidi ya hayo,kwanini wasafiri wasiyasusie tu na kupanda kampuni nyingine mpaka wajirekebishe?watu wanakufa,watu wanapata vilema lakini wanaendelea kusafiri nayo, kutakuwa na shida mahali si bure...
Serikali wamegoma kuifungia hii kampuniKampuni iyo ambayo imemaliza mwezi uliopita kwa mabasi yake 12 kupata ajali na kuua abiria wengi Mwezi huu wa 7 pia wameanza kwa kasi ya ajali
Leo hatimaye wamepata ajali nyingine kitonga na chanzo kikuu ni mwendokasi
Serikali wamegoma kuifungia hii kampuni
New Force katokea kwenye garage ya wachina pale Sayansi, amepiga pesa sana kwenye dili za bima huko ndio alipatia mtaji kianzio.. Mabasi yake yote yako fully insured (comprehensive) kwa hiyo hizo ajali kwake ni faida tupu shida ipo kwa abiria na kama ni njia ya kuachana na hii biashara tutarajie ajali zaidi, maana ajali 12 ndani ya mwezi mmoja sio kitu cha kawaida hata kidogo serikali ilipaswa iwe imeshachukua hatua kitamboHuyo Nforce mbona anakula sana vichwa vya watu?