Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee labda unachangamsha kijiwe, haiwezekan Mbeya utoke saa 12 afu moro ufike 7, na Dar iliingia saa 11?

Nachekaa had machozii, gari za Mbeya Msamvu zinaingia kuanzia saa 10, gari za tunduma, sumbawanga, Songea zinaingia msamvu kuanzia 12 had 1.

Lunch mlikulaa wapii?? Ili nione km unacho sema ni kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uduguu kweli we mzohefu wa njia ya nyanda za juu kusin, umeongea kweli
 
Nimepita October mwishoni, na New force, Dar - Songea.
Ndo maana nakukatalia, hakuna hicho kitu.

Pale huwa ni kuchimba Dawa, vituo vya kula kwa route ya nyanda za juu kusini, mafinga na alijazeera kitonga.
wote tulikua wanafunzi, gari lilikuja pale chuo MUST... saa 12 kasoro limewashwa tukasepa

vituo sivijui mi mgeni wa hayo maeneo ningekua najua tungebishana hapa😂
 
wote tulikua wanafunzi, gari lilikuja pale chuo MUST... saa 12 kasoro limewashwa tukasepa

vituo sivijui mi mgeni wa hayo maeneo ningekua najua tungebishana hapa[emoji23]

Bado hamuwezi kufika muda huo Moro usitufanye wajinga [emoji23][emoji23][emoji23]

Muda unaosema mnakuwa Iringa mmekimbia sana mnaianza kitonga
 
wote tulikua wanafunzi, gari lilikuja pale chuo MUST... saa 12 kasoro limewashwa tukasepa

vituo sivijui mi mgeni wa hayo maeneo ningekua najua tungebishana hapa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna wa kumdanganyaa hapaa, hiyo njiaa naijua vilivyo haswaaa.
 
Bus za kutoka Tunduma, Mbeya na Songea pale zinapita tu stendi hazikai. Wewe mwenzetu labda unapanda coaster zile hakuna kulala za Uyole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Gari itoke stand mpya mbeya saa 12, saa 7 iwe msamvu inapaa? Hata mwendo uwe vipi sio kwa hivyoo aseeeh.
 
Sehemu gan palee? Akati ni walee machinga wanaokuja madirishslani kuuza bidhaa zao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
visehemu wanauza viepe😂

hutaki au??

na nikikuambia nilitoka arusha-moro saa 12 nkafika saa 9 kwa BM coach, utakataa
 
Back
Top Bottom