Basi la Bawacha kuondoka Geita kesho kuelekea bungeni Dodoma kuwang'oa akina Halima Mdee na wenzake

Kwani magufuli anaogopa maandamano Kama dictotor jpm?
 
Wasipime kina cha maji kwa miguu shauri yao
Samia na magufuri ni kitu kimoja
 
Unadhani ni utawala wa magu? Unaweza kushangaa wakasindizwa Hadi bungeni!
 
..hao kina mama wasibugudhiwe.

..na wao pia wasizuie shughuli za bunge.

..wapewe nafasi ya kufikisha na kuonyesha hisia zao nje ya viwanja vya bunge.

..baada ya hapo warudi makwao au watawanyike kwa AMANI.
 
Sitaki nataka ya BAWACHA.... Walisuza kwanza,,,,wenzao wakapakua na wanakula kwenda mbele.... Wajipange kwa yajayo... Team ya BAWACHA iliyoko bungeni, H.Mdee et al walikuwa majembe hasa.... Wanastahili kuwa mjengoni ..

 
Bwashee siku hizi umekuwa msemaji wa bawacha?
 
Akili fupi
 
Wana muda wa kutosha kubishana na Ndugai. Hiyo kesho nitakuwa zangu kutembeza mitumba Sinza. Jioni nitawasoma hapa au youtube.
Dhaaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…