mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Johnmbatizaji ni msemaji sahvi wa cdm"Basi sasa wewe ni msemaji wao." Mwisho wa kukunukuu.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Johnmbatizaji ni msemaji sahvi wa cdm"Basi sasa wewe ni msemaji wao." Mwisho wa kukunukuu.
Kwani magufuli anaogopa maandamano Kama dictotor jpm?Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Nimepokea mikoba ya Tumaini!Johnmbatizaji ni msemaji sahvi wa cdm
Ova
Mwenyekiti Mbowe ameongea nao leo, ngoja tuone!Utasikia wameahilisha.
Jombaa hicho unachotumia achana nacho, hakikufaiKwani magufuli anaogopa maandamano Kama dictotor jpm?
Cdm haiwezi kuwa na mabwege kama huyu.Johnmbatizaji ni msemaji sahvi wa cdm
Ova
Bwashee nia ni njema kabisa!Duh usikihujumu chama tu
Ova
Unadhani ni utawala wa magu? Unaweza kushangaa wakasindizwa Hadi bungeni!Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaurajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Sitaki nataka ya BAWACHA.... Walisuza kwanza,,,,wenzao wakapakua na wanakula kwenda mbele.... Wajipange kwa yajayo... Team ya BAWACHA iliyoko bungeni, H.Mdee et al walikuwa majembe hasa.... Wanastahili kuwa mjengoni ..
Bwashee siku hizi umekuwa msemaji wa bawacha?Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake.
Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza vuguvugu hilo.
Kazi Inaendelea!
Akili fupiNajaribu kufikiri, definitely hawataruhusiwa kuingia viwanja vya bunge. Sasa mission Yao itakuwa accomplished vipi? Nawaunga mkono Sana, Ila practicality ya mission yao to yield the expected results or to have the message delivered ni questionable?
Best of the luck!
Dhaaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wana muda wa kutosha kubishana na Ndugai. Hiyo kesho nitakuwa zangu kutembeza mitumba Sinza. Jioni nitawasoma hapa au youtube.