Basi la Bawacha kuondoka Geita kesho kuelekea bungeni Dodoma kuwang'oa akina Halima Mdee na wenzake

Basi la Bawacha kuondoka Geita kesho kuelekea bungeni Dodoma kuwang'oa akina Halima Mdee na wenzake

Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Kwani magufuli anaogopa maandamano Kama dictotor jpm?
 
Wasipime kina cha maji kwa miguu shauri yao
Samia na magufuri ni kitu kimoja
 
Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaurajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Unadhani ni utawala wa magu? Unaweza kushangaa wakasindizwa Hadi bungeni!
 
..hao kina mama wasibugudhiwe.

..na wao pia wasizuie shughuli za bunge.

..wapewe nafasi ya kufikisha na kuonyesha hisia zao nje ya viwanja vya bunge.

..baada ya hapo warudi makwao au watawanyike kwa AMANI.
 
Sitaki nataka ya BAWACHA.... Walisuza kwanza,,,,wenzao wakapakua na wanakula kwenda mbele.... Wajipange kwa yajayo... Team ya BAWACHA iliyoko bungeni, H.Mdee et al walikuwa majembe hasa.... Wanastahili kuwa mjengoni ..

20210417_054258.jpg
 
Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake.

Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza vuguvugu hilo.

Kazi Inaendelea!
Bwashee siku hizi umekuwa msemaji wa bawacha?
 
Najaribu kufikiri, definitely hawataruhusiwa kuingia viwanja vya bunge. Sasa mission Yao itakuwa accomplished vipi? Nawaunga mkono Sana, Ila practicality ya mission yao to yield the expected results or to have the message delivered ni questionable?
Best of the luck!
Akili fupi
 
Wana muda wa kutosha kubishana na Ndugai. Hiyo kesho nitakuwa zangu kutembeza mitumba Sinza. Jioni nitawasoma hapa au youtube.
Dhaaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom