Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

Age ya madereva itazamwe vzuri.

Umri wa dereva wa mabasi ya abiria angalau basi uwe 40+

Hao chini ya makamu hayo waachiwe daladala.
 
MweΓ±ye mabasi yake ni yule mgonga punda! Bima watajipendekeza kumfidia chap Kwa haraka hakai foleni huyo madelu!
Huyu Madelu atakua kapata pesa wapi.
Mabasi ya ESTHER NI YAKE kumbe na Frester. Halafu ana petrol station ukiachilia mbali makampuni Kama EXTRA BET.
SISI ANATUTOZA TOZO
 
Hawa madereva wa mabasi wanaendesha vibaya sana barabarani. Ni vile tu hawafuatiliwi. Overtaking zao ni blind na za kijeuri- wanasababishia sana watu ajari.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kagongwa mbona hakuna sehemu korofi?? Au alikuwa anamkwepa boda??
Atakuwa alikuwa anakwepa ngwana mbiti; mida hiyo wanakuwa ndo wanaenda kazini πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Tatizo ni barabara nyembamba Sana za Tz . Mbona Zambia wanatembea bila speed limit na ajali ni chache tu wao ni usiku hawaruhusiwi kutembea Ila mchana wanatembea speed kisahani chote shida ni hizi barabara za kizamani .. Tozo zipanue barabara kwanza angalau 3 way
 
Hoja nyepesi kk,,,110 ...???
 
Hoja nyepesi kk,,,110 ...???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…