Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

Age ya madereva itazamwe vzuri.

Umri wa dereva wa mabasi ya abiria angalau basi uwe 40+

Hao chini ya makamu hayo waachiwe daladala.
 
Mweñye mabasi yake ni yule mgonga punda! Bima watajipendekeza kumfidia chap Kwa haraka hakai foleni huyo madelu!
Huyu Madelu atakua kapata pesa wapi.
Mabasi ya ESTHER NI YAKE kumbe na Frester. Halafu ana petrol station ukiachilia mbali makampuni Kama EXTRA BET.
SISI ANATUTOZA TOZO
 
Jamaa wanachezea vts wanakimbia zaid ya 85+ kph na barabaran wanahonga trfc wasiwapige tochi ukiwafata nyuma bila ramani utachezea fain njia nzima huku wao wanapeta bila kusimamishwa hyo chuma imetoka dar inaelekea bkb kwa muda huu ni lazma imepita isaka kwenye saa 20.15 inamaana kaham ingeingia saa 21.00 ni speed kubwa sana aliyotembea nayo njia nzima hakustahili muda huu awe hapo ila kwakua ajali imetokea waangalie timetable yake vzur watagundua alikua mwendo kas haswa wanasababshia watu ulemavu na vifo kwasababu ya ligi barabaran
Hawa madereva wa mabasi wanaendesha vibaya sana barabarani. Ni vile tu hawafuatiliwi. Overtaking zao ni blind na za kijeuri- wanasababishia sana watu ajari.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii Speed alitembea nayo kuanzia Kahama mjini hadi Kagongwa 136km/hr

Screenshot_20210814-063350.png
 
Tatizo ni barabara nyembamba Sana za Tz . Mbona Zambia wanatembea bila speed limit na ajali ni chache tu wao ni usiku hawaruhusiwi kutembea Ila mchana wanatembea speed kisahani chote shida ni hizi barabara za kizamani .. Tozo zipanue barabara kwanza angalau 3 way
 
Ila wabongo kwa kukuza mambo bhana.... Kabla ya mwaka 2015 gari zilikua zinafika Kahama saa 11 jioni halafu leo unasema ati basi limekimbia speed sana.

Watu mnashindwa kutofautisha kuokoa muda na kukimbia sana. Maximum speed ya mabasi yanayoenda mbali ni speed 110 na hayazidi hapo, labda kuwe na shida ya king'amuzi.

Niishie hapo
Hoja nyepesi kk,,,110 ...???
 
Back
Top Bottom