Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

Hawa madereva wa mabasi wanaendesha vibaya sana barabarani. Ni vile tu hawafuatiliwi. Overtaking zao ni blind na za kijeuri- wanasababishia sana watu ajari.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tena wakitaka ku ovateki wakion gari inayokuja ni ndogo basi hapo asubiri anachomoka anakuekea tu inabd wewe mwenye gari ndogo ujibanze kushoto ukipaniki unachochora kwny makorongo huko

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Frester ni ya mchaga,wala hiyo ester siyo ya kwake mwigulu hana pesa yeyote
Huyu Madelu atakua kapata pesa wapi.
Mabasi ya ESTHER NI YAKE kumbe na Frester. Halafu ana petrol station ukiachilia mbali makampuni Kama EXTRA BET.
SISI ANATUTOZA TOZO
 
Hahahaha yes unamkwepa tu! Kumgonga MTU kwa makusudi ni ngumu mno
Hujui sheria za huko road wewe

Unamkwepa mtu mmoja unaenda kuua abiria 60 huko barabarani hili halipo gonga huyo mmoja okoa hao 60
 
Hujui sheria za huko road wewe

Unamkwepa mtu mmoja unaenda kuua abiria 60 huko barabarani hili halipo gonga huyo mmoja okoa hao 60
Narudia tena kama wewe ni dereva nasema hivi, kumgonga MTU kwa kudhamiria ni ngumu sana. Hip option ya kuokoa watu 60 huwa haipo! Labda kama unataka tu kubishana.
 
Jamaa wanachezea vts wanakimbia zaid ya 85+ kph na barabaran wanahonga trfc wasiwapige tochi ukiwafata nyuma bila ramani utachezea fain njia nzima huku wao wanapeta bila kusimamishwa hyo chuma imetoka dar inaelekea bkb kwa muda huu ni lazma imepita isaka kwenye saa 20.15 inamaana kaham ingeingia saa 21.00 ni speed kubwa sana aliyotembea nayo njia nzima hakustahili muda huu awe hapo ila kwakua ajali imetokea waangalie timetable yake vzur watagundua alikua mwendo kas haswa wanasababshia watu ulemavu na vifo kwasababu ya ligi barabaran
Kabla ya kuwekwa ving'amuzi mbona mabasi yalikuwa yanafika saa 12 jioni Kahama!!!
 
Du mkuu JF, balaaa sirikaliii ipo karibu, hakuna worning ya alarm mwendo huo?
Hahahahaha Mkuu ile ilikua biashara tu kipindi kile na niliwahi kuandika hapa JF kuhusu hizo speed. Mabasi mapya kama sio yote basi yaliyo mengi hayana tena huu mfumo.

Na Yale ambayo yanautumia bado wakifika Usiku wanachezea ule mfumo. Nimepanda Takbir last week wao bado wanao huo mfumo
 
Back
Top Bottom