Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

Unasafiri siku 5 sijui njiani hata kama humo ndani kuwe na madereva 5 yani hamna assurance ya usalama kabisaa.. kama hujajipanga kwenda south upande pipa tuliza tako bongo ila sio huu umaskini
Ajali inaweza kutokea hata km moja kutoka nyumbani kwako, hata hivyo Mkombe amepata ajali mara 2 tu hivyo watu wataendelea kusafiri bila tatizo.
Hata hivyo basi limegongwa na sio kuwa ndio waloosababisha ajali
 
Unasafiri siku 5 sijui njiani hata kama humo ndani kuwe na madereva 5 yani hamna assurance ya usalama kabisaa.. kama hujajipanga kwenda south upande pipa tuliza tako bongo ila sio huu umaskini
Aiseeeh
 
Basi lilikuwa linatoka Johannesburg kuja Bongo.

Si kweli kila anayepanda bus NI kwamba Hana pesa ya kupanda mwewe, road trip ni full of adventure.

Dar to Johannesburg ni kilometres 5000 tu, ingekuwa issue ni umbali Marekani pasingekuwa na usafiri wa mabasi wa State to State, from West side to East coast hata masaa ndani ya Marekani ni tofauti ndani ya nchi moja.
 
Naunga mkono hoja
 
kwanza kusafiri masaa mengi kwenye gari sio adventure tena ni kuchoshanaaa... au kuona milima inapita kule na swalaa ndo adventure???
 
Mkuu, kwa jana polisi Zambia waliripoti ni watu 12, ikiwa ni watu 6 kutoka kwenye lori na watu 6 kutoka kwenye basi
OK kwenye group za wasafirishaji sijui walitoa wapi hiyo idadi, kwakweli ajali zinatugharimu sana maisha ya wanadamu, na wengine kubakia vilema bila msaada wowote.
 
kwanza kusafiri masaa mengi kwenye gari sio adventure tena ni kuchoshanaaa... au kuona milima inapita kule na swalaa ndo adventure???
Wengi hawajui ukweli NI Kwa nini watu hasa wakitoka South Africa wanapanda mabasi.

Viongozi wa serikali mjitafakari Sana, watu wanatumia paper kuishi South Africa kihalali kabisa, wakitaka kurudi nyumbani wanakwenda Pretoria kuchukuwa Emergency travel documents za kusafiria na tunazilipia pesa Kwa control number, unapanda ndege fresh Oliver Tambo kabiru anakugongea exit ukituwa tu Dar airport wanakumaliza utasema NI mkimbizi, utasoteshwa airport masaa na immigration na lazima upukutishwe pesa ndio unaruhusiwa kuingia kwenye nchi yako, NI Kwa nini Watanzania tunatesana wenyewe kiasi hiki?

Issue ya over stay inawahusu foreign country lakini siyo kwenye nchi yako, wajibu wa immigration ni kugonga entry Tu na hakuna maswali zaidi.

Nimeshatowa pesa mara nyingi hapo airport napigiwa simu mtu kamalizwa ukiuliza sababu eti over stay, this motherfuckers wanajuwa maana ya overstay? unatoka nchi za watu unagongewa exit, unaingia kwenye nchi yako wanakwambia overstay, siipendi kabisa CCM Kwa sababu inawafanyia dhulma Sana Watanzania.
 
OK kwenye group za wasafirishaji sijui walitoa wapi hiyo idadi, kwakweli ajali zinatugharimu sana maisha ya wanadamu, na wengine kubakia vilema bila msaada wowote.
Mpaka sasa dereva wa Pili Kilua ndio confirmed dead.
 
Attachments

  • IMG-20231227-WA0044.jpg
    IMG-20231227-WA0044.jpg
    59.8 KB · Views: 4
Wengi hawajui ukweli NI Kwa nini watu hasa wakitoka South Africa wanapanda mabasi.

Viongozi wa serikali mjitafakari Sana, watu wanatumia paper kuishi South Africa kihalali kabisa, wakitaka kurudi nyumbani wanakwenda Pretoria kuchukuwa Emergency travel documents za kusafiria na tunazilipia pesa Kwa control number, unapanda ndege fresh Oliver Tambo kabiru anakugongea exit ukituwa tu Dar airport wanakumaliza utasema NI mkimbizi, utasoteshwa airport masaa na immigration na lazima upukutishwe pesa ndio unaruhusiwa kuingia kwenye nchi yako, NI Kwa nini Watanzania tunatesana wenyewe kiasi hiki?

Issue ya over stay inawahusu foreign country lakini siyo kwenye nchi yako, wajibu wa immigration ni kugonga entry Tu na hakuna maswali zaidi.

Nimeshatowa pesa mara nyingi hapo airport napigiwa simu mtu kamalizwa ukiuliza sababu eti over stay, this motherfuckers wanajuwa maana ya overstay? unatoka nchi za watu unagongewa exit, unaingia kwenye nchi yako wanakwambia overstay, siipendi kabisa CCM Kwa sababu inawafanyia dhulma Sana Watanzania.
duu hii mbona balaa sasa overstay si walitakiwa waseme south africa???
 
Na South Africa ukiwa over stay kweli wanakugonea muhuri kabisa miaka mitano uruhusiwi kuingia, tena sasa hivi ni wakali na wako serious kwenye Hilo

Kuna mwanangu mmoja kama wiki mbili hivi amejisahau akaoverstay siku mbili Tu, alikuwa anakwenda Maputo wakamnyuka na yeye miaka miwili no entry Kwa sababu ni mwenyeji anaingia kivingine.
 
Lakini ripoti ya polisi Zsmbia inadai dereva Mtanzania aliyekuwa anaendesha lori ndiye aliovateki vibaya akashindwa kumaliza ndipo akaligonga basi
Utakuta umri wake ni kama 3.......
Ajali ni ajali,hata ufanyeje kutokea kupo. Lakini,waajiri wenyewe wa malori wanachangia kiasi kikubwa.
Niliwahi kusafiri na lori nikamuuliza dreva, kwa nini maloli mengi ya TZ ndo yanaoongoza kwa ajari. Alichonijibu ni kwamba kwa dereva makini,huwezi kupata ajari kirahisi ukiendesha lori.
Kwanza alituhumu waendeshaji kuwa wakikaa kwenye utingo mda mrefu,wakipewa waendeshe na kuelekezwa,baada ya mda mfupi ni madreva wazuri,ukimtest, atafanya vizuri. Hawa hutafuta leseni na wakishapata,tayari wapo barabarani.
-hivyo,akili za kukadilia mzigo,uzito wa gari,hali ya barabara, mfumo mzima wa gari,hawaujui. Kama sikosei alinambia lori ina mifumo ya kusimama kama 5. Akasema kuwezi kukosa hata moja.
Sasa kama huyo,watu wa malori wengi utakuta amefatana na mwenzie,hajui mbele kuna nini, na yupo mafuta fulu,matokeo yanakua kama haya.
Haya magari ukimpa bachera,anataka kwao kila mtu ajue anaendesha gari kubwa,kila kibenteni wake ajue hawara yangu dreva wa masafa,wengine wamejitunga majina,
Nikiwa bado mdogo nchi furani jirani,enzi za fiat, na Benz za zamani, magari makubwa yote yalikuwa yakiendeshwa na wazee.
Japo wachache,ila wanawake kwenye lolri kupata ajari ni nadra
 
Back
Top Bottom