Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

Mimi unaponiambia serenje nimeshtuka maana ile Road ni mkeka mtupu

Aisee mpe Pole sana ,lzm uwaze ushirikina maana mambo mengi
Tatizo kubwa South Africa watu wanaendesha magari Kwa adabu, hata ukiingia Zimbabwe, lakini wakivuka border tu Chilundu wanaona kama Zambia hakuna serikali ni mwendo mdundo.
 
Tatizo kubwa South Africa watu wanaendesha magari Kwa adabu, hata ukiingia Zimbabwe, lakini wakivuka border tu Chilundu wanaona kama Zambia hakuna serikali ni mwendo mdundo.
Kuanzia kapiri.mkushi ( km sijakoseq) ,serenje mkeka wa maana sasa mkutane bus na truck ,ndio km hivi tunatoa R.I.P
 
Mbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?
Kwa miaka mingi JF ndiyo ilikia chanzo cha taarifa nyingi hapa nchini. Ilifikia wakati hata mainstream medias walikua wanaweka kambi hapa ili kutafuta habari.
Watu walikua wakiona taarifa kwenye vyombo hivyo, walikua wakijiuliza "Mbona hii taarifa sijaiona JF?"
Sasa hivi tangu kizazi chenu kimejiunga na JF mambo yamebadilika sana.
 
Wana familia kama mna ndugu walikua wanasafiri kutoka South Africa na Bus la Mkombe Luxury please jaribuni kuwatafuta mana bus limepata ajali mbaya sana ya kugongana na Lori uso Kwa uso jana Serenje Zambia.

Inasemekana idadi ya vifo imeongezeka.
View attachment 2854330View attachment 2854331
NIliandikaaaaa NOV MUANDIKE na wosiaa kablaayakuondokaa makwenudecember msituteseeee
 
Tatizo kubwa South Africa watu wanaendesha magari Kwa adabu, hata ukiingia Zimbabwe, lakini wakivuka border tu Chilundu wanaona kama Zambia hakuna serikali ni mwendo mdundo.
Lakini ripoti ya polisi Zsmbia inadai dereva Mtanzania aliyekuwa anaendesha lori ndiye aliovateki vibaya akashindwa kumaliza ndipo akaligonga basi
 
Samahani kwa kuingilia mjadala lakini usimpuuze mzee Matola, ameishi South muda mrefu hivyo kufahamiana na mwenye gari sio ajabu.
Kinachonishangaza anadhani haya magari yanamilikiwa na Aliens?

Halafu tunaojuwana fika mwamba tunamuita Kwa A.K.A ya Walter.
 
Kinachonishangaza anadhani haya magari yanamilikiwa na Aliens?

Halafu tunaojuwana fika mwamba tunamuita Kwa A.K.A ya Walter.
Sijui niseme nini, kuna watu huwa qanahisi kuwa jf ni ya watoto au mafukara watupu
 
Samahani kwa kuingilia mjadala lakini usimpuuze mzee Matola, ameishi South muda mrefu hivyo kufahamiana na mwenye gari sio ajabu.
Dunia ipo kasi sana, watu wanaona kufahamiana mmiliki wa mabasi ni kama kuishi Mbinguni.
Wasichokijua ni kwamba humu JF anyone is anyone, and no one is anybody.
Mwendazake mwenyewe alikua na ID yake humu. Alikua akiwaambia wetu fungukeni nimpelekee Mheshimiwa rais kero zenu, watu wanaanza kumshambulia kwa kujifanya anajuana na viongozi au kwa kujifanya ni mtu wa kitengo...kumbe ndiye yeye yeye😃
 
Lakini ripoti ya polisi Zsmbia inadai dereva Mtanzania aliyekuwa anaendesha lori ndiye aliovateki vibaya akashindwa kumaliza ndipo akaligonga basi
Kuna watu walitaka kushuka kwenye Hilo bus ili wapande basi lingine, hakuna faida yoyote ninayopata kuandika ukweli.

Mimi naendesha gari Kwa zaidi ya miaka 30, Siri ya barabarani kosa la dreva mwenzanko unaweza kulisahihisha wewe, lakini wote mkiwa kwenye high speed wote hamtosalimika.
 
Kinachonishangaza anadhani haya magari yanamilikiwa na Aliens?

Halafu tunaojuwana fika mwamba tunamuita Kwa A.K.A ya Walter.
Hope ana bimakubwa mpwaa siokwashow ile yaanisijuialilalaadreva??
 
Back
Top Bottom