Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Uongo hapo ni upi?Acha uongo wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo hapo ni upi?Acha uongo wewe
Tatizo kubwa South Africa watu wanaendesha magari Kwa adabu, hata ukiingia Zimbabwe, lakini wakivuka border tu Chilundu wanaona kama Zambia hakuna serikali ni mwendo mdundo.Mimi unaponiambia serenje nimeshtuka maana ile Road ni mkeka mtupu
Aisee mpe Pole sana ,lzm uwaze ushirikina maana mambo mengi
Kuanzia kapiri.mkushi ( km sijakoseq) ,serenje mkeka wa maana sasa mkutane bus na truck ,ndio km hivi tunatoa R.I.PTatizo kubwa South Africa watu wanaendesha magari Kwa adabu, hata ukiingia Zimbabwe, lakini wakivuka border tu Chilundu wanaona kama Zambia hakuna serikali ni mwendo mdundo.
Mkuu, kwa jana polisi Zambia waliripoti ni watu 12, ikiwa ni watu 6 kutoka kwenye lori na watu 6 kutoka kwenye basiJana kwa mujibu wa habari kutoka Zambia wamekufa watu32
Samahani kwa kuingilia mjadala lakini usimpuuze mzee Matola, ameishi South muda mrefu hivyo kufahamiana na mwenye gari sio ajabu.Acha uongo wewe
Kwa miaka mingi JF ndiyo ilikia chanzo cha taarifa nyingi hapa nchini. Ilifikia wakati hata mainstream medias walikua wanaweka kambi hapa ili kutafuta habari.Mbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?
NIliandikaaaaa NOV MUANDIKE na wosiaa kablaayakuondokaa makwenudecember msituteseeeeWana familia kama mna ndugu walikua wanasafiri kutoka South Africa na Bus la Mkombe Luxury please jaribuni kuwatafuta mana bus limepata ajali mbaya sana ya kugongana na Lori uso Kwa uso jana Serenje Zambia.
Inasemekana idadi ya vifo imeongezeka.
View attachment 2854330View attachment 2854331
Rip comradeDreva wa bus Thabo Botlele ndio jina pekee ambalo ndio confirmed dead.
Lakini ripoti ya polisi Zsmbia inadai dereva Mtanzania aliyekuwa anaendesha lori ndiye aliovateki vibaya akashindwa kumaliza ndipo akaligonga basiTatizo kubwa South Africa watu wanaendesha magari Kwa adabu, hata ukiingia Zimbabwe, lakini wakivuka border tu Chilundu wanaona kama Zambia hakuna serikali ni mwendo mdundo.
UshirikinamkuuHuyu Hana akili, Jana usiku nimeongea Sana na mmiliki wa haya mabasi maana mpaka nikahisi ni ushirikina.
Kinachonishangaza anadhani haya magari yanamilikiwa na Aliens?Samahani kwa kuingilia mjadala lakini usimpuuze mzee Matola, ameishi South muda mrefu hivyo kufahamiana na mwenye gari sio ajabu.
Hapa uliposikia ni wapi, au hafi appst millard ayohatujasikia popote
Sijui niseme nini, kuna watu huwa qanahisi kuwa jf ni ya watoto au mafukara watupuKinachonishangaza anadhani haya magari yanamilikiwa na Aliens?
Halafu tunaojuwana fika mwamba tunamuita Kwa A.K.A ya Walter.
Dunia ipo kasi sana, watu wanaona kufahamiana mmiliki wa mabasi ni kama kuishi Mbinguni.Samahani kwa kuingilia mjadala lakini usimpuuze mzee Matola, ameishi South muda mrefu hivyo kufahamiana na mwenye gari sio ajabu.
Kuna watu walitaka kushuka kwenye Hilo bus ili wapande basi lingine, hakuna faida yoyote ninayopata kuandika ukweli.Lakini ripoti ya polisi Zsmbia inadai dereva Mtanzania aliyekuwa anaendesha lori ndiye aliovateki vibaya akashindwa kumaliza ndipo akaligonga basi
Hope ana bimakubwa mpwaa siokwashow ile yaanisijuialilalaadreva??Kinachonishangaza anadhani haya magari yanamilikiwa na Aliens?
Halafu tunaojuwana fika mwamba tunamuita Kwa A.K.A ya Walter.