Wengi hawajui ukweli NI Kwa nini watu hasa wakitoka South Africa wanapanda mabasi.
Viongozi wa serikali mjitafakari Sana, watu wanatumia paper kuishi South Africa kihalali kabisa, wakitaka kurudi nyumbani wanakwenda Pretoria kuchukuwa Emergency travel documents za kusafiria na tunazilipia pesa Kwa control number, unapanda ndege fresh Oliver Tambo kabiru anakugongea exit ukituwa tu Dar airport wanakumaliza utasema NI mkimbizi, utasoteshwa airport masaa na immigration na lazima upukutishwe pesa ndio unaruhusiwa kuingia kwenye nchi yako, NI Kwa nini Watanzania tunatesana wenyewe kiasi hiki?
Issue ya over stay inawahusu foreign country lakini siyo kwenye nchi yako, wajibu wa immigration ni kugonga entry Tu na hakuna maswali zaidi.
Nimeshatowa pesa mara nyingi hapo airport napigiwa simu mtu kamalizwa ukiuliza sababu eti over stay, this motherfuckers wanajuwa maana ya overstay? unatoka nchi za watu unagongewa exit, unaingia kwenye nchi yako wanakwambia overstay, siipendi kabisa CCM Kwa sababu inawafanyia dhulma Sana Watanzania.