Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kuna shida upande wa Mkombe, Leo tutapata list ya waliosafiri kutoka Chilundu border upande wa Zambia, hawa Jamaa hawatowi ushirikiano wa kutosha.Wenye jukumu la kutoa taarifa za vifo wapo sio mimi mkuu...
Sijui kwanini Man first ya hilo basi inawekwa siri navyo fahamu Basi likivuka mpaka ofisi zote husika hapo mpakani lazima ibakie na copy ya rekodi ya wasafiri.Kuna shida upande wa Mkombe, Leo tutapata list ya waliosafiri kutoka Chilundu border upande wa Zambia, hawa Jamaa hawatowi ushirikiano wa kutosha.
Kuna connection nzuri Tu Chilundu border, baadaye tutaipata list yote kutoka Immigration ya Zambia, waache wao waendelee kukaa kimya.Sijui kwanini Man first ya hilo basi inawekwa siri navyo fahamu Basi likivuka mpaka ofisi zote husika hapo mpakani lazima ibakie na copy ya rekodi ya wasafiri.
Nimejikuta na tokwa na machozi ya uchungu Baba anapo kuwa mbali kutufariji watoto pindi tukipatwa na magumu ya ulimwenguni. Pale panagalikuwa panafika V 8 kiurahisi ungekuta misafara kila uchao.Kuna connection nzuri Tu Chilundu border, baadaye tutaipata list yote kutoka Immigration ya Zambia, waache wao waendelee kukaa kimya.
Na hawa mabalozi ndio takataka kabisa.
CCM wapo tayari kutowa ndege kuwapa Simba na Yanga kuliko kutumia helicopter za kijeshi kuwaisha majeruhi waje kutibiwa Tanzania kuondowa maisha Yao.
Hii nchi imelaaniwa.
AbsolutelyBasi lilikuwa linatoka Johannesburg kuja Bongo.
Si kweli kila anayepanda bus NI kwamba Hana pesa ya kupanda mwewe, road trip ni full of adventure.
Dar to Johannesburg ni kilometres 5000 tu, ingekuwa issue ni umbali Marekani pasingekuwa na usafiri wa mabasi wa State to State, from West side to East coast hata masaa ndani ya Marekani ni tofauti ndani ya nchi moja.
Nafikiri ni kutokana na raia wenyewe wa Tz kutokujitambua, kwa nini usikatae kutoa hiyo rushwa unayoombwa kwa sababu ya overstay uliyofanya ktk nchi nyingine? Kosa la Overstay ulilofanya South Africa utahukumiwa na Mamlaka za Nchi ya South Africa, wala siyo na mamlaka za Tz.Wengi hawajui ukweli NI Kwa nini watu hasa wakitoka South Africa wanapanda mabasi.
Viongozi wa serikali mjitafakari Sana, watu wanatumia paper kuishi South Africa kihalali kabisa, wakitaka kurudi nyumbani wanakwenda Pretoria kuchukuwa Emergency travel documents za kusafiria na tunazilipia pesa Kwa control number, unapanda ndege fresh Oliver Tambo kabiru anakugongea exit ukituwa tu Dar airport wanakumaliza utasema NI mkimbizi, utasoteshwa airport masaa na immigration na lazima upukutishwe pesa ndio unaruhusiwa kuingia kwenye nchi yako, NI Kwa nini Watanzania tunatesana wenyewe kiasi hiki?
Issue ya over stay inawahusu foreign country lakini siyo kwenye nchi yako, wajibu wa immigration ni kugonga entry Tu na hakuna maswali zaidi.
Nimeshatowa pesa mara nyingi hapo airport napigiwa simu mtu kamalizwa ukiuliza sababu eti over stay, this motherfuckers wanajuwa maana ya overstay? unatoka nchi za watu unagongewa exit, unaingia kwenye nchi yako wanakwambia overstay, siipendi kabisa CCM Kwa sababu inawafanyia dhulma Sana Watanzania.
Umewahi kusafiri nje ya Tanzania?Nafikiri ni kutokana na raia wenyewe wa Tz kutokujitambua, kwa nini usikatae kutoa hiyo rushwa unayoombwa kwa sababu ya overstay uliyofanya ktk nchi nyingine? Kosa la Overstay ulilofanya South Africa utahukumiwa na Mamlaka za Nchi ya South Africa, wala siyo na mamlaka za Tz.
Ndiyo, siyo kusafiri tu bali pia nimewahi kuishi katika nchi za kigeni.Umewahi kusafiri nje ya Tanzania?
Kwahiyo unawajuwa vizuri immigration wetu.Ndiyo
Unataka kusemaje?
Asante Kwa Muongozo Mkuu. Kuna jamaa wananunua ndinga South wanakujaga nazo kwa barabara wanaikwepa Sana SerenjeWatu wengi sasa hivi wanakifika Lusaka wanaitafuta Malawi ukifika Mzuzu unakua ushafika karibu na Songwe huko Serenje maroli mengi mno harafu wanaendesha katikati ya bara bara imeumiza sana hii ajali aisee watu wengi walikua wanarudi home..
Wewe badala ya kuhuzunika unang'ang'ania kujua idadi ya vifo 😡😡😡Tangu jana umekazana kusema "ajali mbaya sana, idadi ya vifo imeongezeka..." Lakin husemi hiyo idadi ni kiasi gani.
Ni kweli,maana jana kuna dereva wa magari makubwa alikuwa ananionyesha video za ajari hii.Mbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?
Isijekuwa mambo ya kafara,maana hawa matajiri bhana hawaaminiki.Wana familia kama mna ndugu walikua wanasafiri kutoka South Africa na Bus la Mkombe Luxury please jaribuni kuwatafuta mana bus limepata ajali mbaya sana ya kugongana na Lori uso Kwa uso jana Serenje Zambia.
Inasemekana idadi ya vifo imeongezeka.
View attachment 2854330View attachment 2854331
Customer care ya daslm huyo dada anawaambia ndugu wa majeruhi kuwa wawasiliane na SA wao ndio wana taarifa yaani waliopo daslm hawana taarifa za Lusaka aisee na inaonekana hawajajipanga yaani toka jana hawana watu wa kufatilia hospital ya Kabwe au hapo Serenje watu wawe na taarifa kamili...Kuna shida upande wa Mkombe, Leo tutapata list ya waliosafiri kutoka Chilundu border upande wa Zambia, hawa Jamaa hawatowi ushirikiano wa kutosha.
Ni kweli.Mbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?
Proff naweza kukuona pm?South Africa mpk Dar es salama n siku ngap ?? Na mbali na passport kuwa nayo n documents gani muhimu kuwa nayo??
Ukiwa na timing nzuri ya kuvuka border NI siku Tatu, border hazifanyi kazi 24 hours.South Africa mpk Dar es salama n siku ngap ?? Na mbali na passport kuwa nayo n documents gani muhimu kuwa nayo??
Hii ndio Hali halisi ya wagonjwa wametupwa sehemu kama kambi ya wakombozi tu.Customer care ya daslm huyo dada anawaambia ndugu wa majeruhi kuwa wawasiliane na SA wao ndio wana taarifa yaani waliopo daslm hawana taarifa za Lusaka aisee na inaonekana hawajajipanga yaani toka jana hawana watu wa kufatilia hospital ya Kabwe au hapo Serenje watu wawe na taarifa kamili...
Daah hatari sana aisee...Hii ndio Hali halisi ya wagonjwa wametupwa sehemu kama kambi ya wakombozi tu.
Balozi wa Tanzania nchini Zambia anakoroma usingizi Tu.