Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke.
Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke dereva wa mwendokasiatujuze.
====================
UFAFANUZI WA DART
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), William Gatambi:
Bodaboda alikuwa anakatisha Mtaa wa Mafia wakati Taa za Kijani zimeruhusu, akagongwa na Basi akapoteza Maisha palepale, baada ya tukio hilo baadhi ya waendesha Bodaboda wakaanza kuponda basi kwa mbele, wakavunja vioo.
Baada ya hapo wakamvamia Dereva wa Basi na kuanza kumpiga na kumuibia pochi yake. Baadaye Dereva ambaye aliongoza wenzake kushambulia basi na kumjeruhi Dereva amekamatwa na yupo Polisi.
Pia, Dereva naye yupo Polisi muda huu kwa ajili ya kutoa maelezo.
Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke.
Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke dereva wa mwendokasiatujuze
Huyu ni mtu wa 3 anagongwana huyu mwanamama na kupoteza maisha.
Mwingine ni mwanamke amemgonga juzi maeneo haya haya.
Kwahiyo sina chuki na huyu mwanamke hata kidogo
Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke.
Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke dereva wa mwendokasiatujuze
Gerezani au Msimbazi? Enewei naunga mkono hoja barabara ijengewe kingo imebanana sana hapa boda wanapita kama vichaa,Watembea kwa miguu nao wanapita vibaya mno..Jumlisha ule uendeshaji wa Mwendokasi watatuua sana mbwa hawa
Pale taa zilikuwa zimeruhusu mkuu watu wapite, sasa huyu mwanamama katoka huko na mwendokasi mazima kamzoa mshikaji, amembuluza karibia mita mia kasoro mbele.
sijui mpake wafe watu wangapi ndiyo wata weka barriers kwenye hizi barabara za mwendokasi. Na madereva wa mwendokasi wana roho za mbwa: kwani wakiendesha mwendo mdogo kwenye maeneo ya watu wengi kuna tatizo gani?