Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kulikuwa na ulazima gani wa kumtaja jinsia yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wengi huwa wanaamini kua sheria za barabarani zinawahusu wenye magari tu,wao watembea kwa miguu,bajaji na bodaboda huwa haziwahusu ndiyo maana wanajiendea tu bila mpango!!Hapana nakupinga. Watu waheshimu sheria za barabara. Huwa najiuliza traffic hawaruhusiwi kuwakamata watembea kwa miguu wanaovunja sheria? Watembea kwa miguu nao wanavunja sheria mno. Huko Kkoo watu hawayaogopi magari kabisa.
Wewe kila siku upo hapo hapo unamsubilia huyo mama agonge mtuHuyu ni mtu wa 3 anagongwana huyu mwanamama na kupoteza maisha.
Mwingine ni mwanamke amemgonga juzi maeneo haya haya.
Kwahiyo sina chuki na huyu mwanamke hata kidogo
Pisi moja hivi black.. nilimtongoza akanichomolea..Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke.
Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke dereva wa mwendokasiatujuze
Nilimuona na hilo gari akinunua mazagazaga kule shimoni Kariakoo, nikashangaa sana.Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke.
Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke dereva wa mwendokasiatujuze.
====================
UFAFANUZI WA DART
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), William Gatambi:
Bodaboda alikuwa anakatisha Mtaa wa Mafia wakati Taa za Kijani zimeruhusu, akagongwa na Basi akapoteza Maisha palepale, baada ya tukio hilo baadhi ya waendesha Bodaboda wakaanza kuponda basi kwa mbele, wakavunja vioo.
Baada ya hapo wakamvamia Dereva wa Basi na kuanza kumpiga na kumuibia pochi yake. Baadaye Dereva ambaye aliongoza wenzake kushambulia basi na kumjeruhi Dereva amekamatwa na yupo Polisi.
Pia, Dereva naye yupo Polisi muda huu kwa ajili ya kutoa maelezo.
Dah! Ndio maana huwa napenda kuvuka pasipo tegemea taa. Watu wengi huwa wanapitiwa kwenye taa.Pale taa zilikuwa zimeruhusu mkuu watu wapite, sasa huyu mwanamama katoka huko na mwendokasi mazima kamzoa mshikaji, amembuluza karibia mita mia kasoro mbele.
Huyu inabidi awe mfano kwa wenzie.aada ya hapo wakamvamia Dereva wa Basi na kuanza kumpiga na kumuibia pochi yake. Baadaye Dereva ambaye aliongoza wenzake kushambulia basi na kumjeruhi Dereva amekamatwa na yupo Polisi.
Mkuu ungesema bodaboda, ukisema limegonga mtu unatuchanganya.Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke.
Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke dereva wa mwendokasiatujuz
Vizuizi gani, kwenye nini?Mimi nadhani kuanzia pale gerezani waweke vizuizi mpaka fire.....na pia kuanzia fire mpaka kivukoni waweke vizuizi.........
Yule mama ashukuru Mungu police wamemsaidia angechomwa moto boda boda akili hawana wamemfata hadi msimbaziPale taa zilikuwa zimeruhusu mkuu watu wapite, sasa huyu mwanamama katoka huko na mwendokasi mazima kamzoa mshikaji, amembuluza karibia mita mia kasoro mbele.
Sema bodaboda itaeleweka zaidi.Ni mtu muendesha bodaboda
Tatizo ni wale machinga waliojazana pembezoni mwa barabara halafu wanajiona wana haki kuliko watembea kww miguu,, nchi ya kifala hiiKuna maswali ya kuuliza ya msingi...
1- Alivuka katika ZEBRA?
2- Dereva alishindwa kuokoa Maisha?
Gari za Mwendokasi, Fire, Ambulance huw hawaendeshi kwa tahadhari na ni kama wamepewa ruhusa ya kufanya ajali yoyote ile bila kuwajibishwa.
Msongamano wa watembea kwa miguu unasababishwa na Wamachinga.. inatakiwa sio kuweka barriers bali kuwatimua hao wamachinga ktk eneo la watembea kwa miguu ili kurahisisha flow ya watembea kwa miguu.
Watu wanakuw wanamawenge ktk kuvuka kutokana na changanyikeni ya pale. Matoroli.. boda, baiskeli, guta, bajaji, kirikuu..
Bado wabeba vinywaji.. na wauza accessories ndogo kama pete cheni miwani.. nao wanabeba mizigo inayokinga watembea kwa miguu.
Kuna maamuzi magumu yanatakiwa ikiwemo kutembeza bakora, Migambo hawana kazi ya kufanya wapewe rungu.