abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Shekhe mi nmetaja mwamba aliyegongwa sijamzungumzia Magufuli, katika maeneo mwenetu aliteleza ni hapa kuwapa kibali hawa. Shida tunataka kila mtu aridhikeMwamba gani mkuu?
Maana Magufuli ndiyo aliwapa ruhusa waachinga wazae kila engo.
huwa wana wenge, wakae nyumbani walee familia. hizi mishe za 50/50 zimetokea kuzimu.dere mwanamke aisee sijawahi kumwamin
kesi ya usalama barabarani mahakamani huwa ni ndogo sana! sana!Huyu Dereva apelekwa mahakamani ashtakiwe ma mahakama ndo itaamua kama ana kesi ya kujibu au la !
Ila kule israel wanawake wamepeleka madege ya vita iran nakufanya mishe na kuzirudisha bila kuguswahuwa wana wenge, wakae nyumbani walee familia. hizi mishe za 50/50 zimetokea kuzimu.
YESU ni BWANA na MWOKOZI
Ila kule israel wanawake wamepeleka madege ya vita iran nakufanya mishe na kuzirudisha bila kuguswa
Wenyewe wanakwambia dereva ni tatizo😀Kuna maswali ya kuuliza ya msingi...
1- Alivuka katika ZEBRA?
2- Dereva alishindwa kuokoa Maisha?
Gari za Mwendokasi, Fire, Ambulance huw hawaendeshi kwa tahadhari na ni kama wamepewa ruhusa ya kufanya ajali yoyote ile bila kuwajibishwa.
Msongamano wa watembea kwa miguu unasababishwa na Wamachinga.. inatakiwa sio kuweka barriers bali kuwatimua hao wamachinga ktk eneo la watembea kwa miguu ili kurahisisha flow ya watembea kwa miguu.
Watu wanakuw wanamawenge ktk kuvuka kutokana na changanyikeni ya pale. Matoroli.. boda, baiskeli, guta, bajaji, kirikuu..
Bado wabeba vinywaji.. na wauza accessories ndogo kama pete cheni miwani.. nao wanabeba mizigo inayokinga watembea kwa miguu.
Kuna maamuzi magumu yanatakiwa ikiwemo kutembeza bakora, Migambo hawana kazi ya kufanya wapewe rungu.
Hii nchi, inabidi tupate raisi chizi chizi kama Magu. Haiwezekani yani tunajenga barabara kwa ajili ya kupita magari, watu wanafanya biasharaSehemu za kupita njia watu wameweka biashara, hizi huruma za kipuuzi eti watauzia wapi ndo zinamaliza maisha ya watu. Kariakoo kunaboa sana, biashara zimejazana hadi barabarani kanjia kadogo sana kwaajili ya watembea kwa miguu, hapo hatuongei kuhusu uchafu hii nchi watu wanapelekwa kimayai mayai sana
RIP mwamba aliyegongwa🙏
Avha urongo wa vijiweni.....Ila kule israel wanawake wamepeleka madege ya vita iran nakufanya mishe na kuzirudisha bila kuguswa
Katika viongozi wanawake nilimwamini Rose Migilo tu aliyeondoka na clean sheet kwenye utendaji mpaka wa kimataifa.Endeleeni kuwasifia wanawake
Muwape tu nchi, majimbo, ofisi, mabasi.
Wapeni tu
Roho mbaya sana, hata km boda ana makosa kama anaweza kuzuia ajali bora uzuie... matatizo mengine kujitakiaKuna siku nipo kwa daladala boda akajichanganya ku overtake bila tahadhari. Aiseee dele wa ile costa akamsogezea chuma ili akajibamize kwenye roli upande wa pili, kwa bahati akamkosa.
Jamaa akaanza kuongea bila aibu, “ana bahati sana, habari yake ingeishia hapa”.
UOngo upiAvha urongo wa vijiweni.....
Hakika. Hiyo miungu mingine itapigwa tuikishakuwa Israeli inakuwa ni habari nyingine.
kule anayepigana ni MUNGU WA ISRAELI, anatumia watu kama vyombo tu.
na imekuwa ikitandikwa miaka na karne nyingi zilizopita kina dagoni wa wafilisti (wapalestina)Hakika. Hiyo miungu mingine itapigwa tu
1 Samweli 5 (Biblia Takatifu)na imekuwa ikitandikwa miaka na karne nyingi zilizopita kina dagoni wa wafilisti (wapalestina)
LAzima wapigikena imekuwa ikitandikwa miaka na karne nyingi zilizopita kina dagoni wa wafilisti (wapalestina)