Basi la Sauli lapata ajali Picha ya Ndege, Kibaha. Wanne wajeruhiwa, 40 wanusurika

Basi la Sauli lapata ajali Picha ya Ndege, Kibaha. Wanne wajeruhiwa, 40 wanusurika

Narudia tena serikali idhibiti hawa madereva wa SAULI [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Ushauri wangu kwa SUMATRA kuhusu magari ya Sauli
 
Narudia tena serikali idhibiti hawa madereva wa SAULI [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Ushauri wangu kwa SUMATRA kuhusu magari ya Sauli
Wa tag @LATRA Sumatra wapo na jukumu la usafiri majini kwa siku hizi. Latra ndio usafiri wa nchi kavu

Sent from my M2006C3LI using JamiiForums mobile app
 
Sipati picha hapo mlimani limepandaje?

Jamani [emoji24][emoji15]

Hapo mlimani limepandishwa au limepanda lenyewe kwa mwendokasi kiasi gani?

Hivi hao watu walokuwa humo walikuwa kwenye hali gani?

Mwendokasi unaua!
 
Magari ya Mbeya City hayo. Mnyama Mkali 🏍️🏍️🏍️.
High speed kills.

Bado Golden 🦌 Deer, a.k.a kamnyama .
Kama ni benz nimeingia nalo jana Shekilango mapema SANA,
Unajua SAULI siyo speed tu, ni COMFORTABILITY, viti vina nafasi miguu haibanwi...kama Happy Nation!
SAULI nitalipanda labda abadili aina ya magari, mchina.

Everyday is Saturday................................😎
 
Senario hiyo inanikumbusha mwaka juzi pale Misigiri.. Dereva wetu sijui alisinzia?

Gari liko kulia na mbele linakuja roli la kubeba makontena. Dereva wa roli kaisoma formation mapema, kakanyaga breki, kawasha taa na honi juu !! ...

Dereva wetu kustuka kuna mita chache tu kuingia mvunguni mwa roli, alichofanya ni kulitoa gari nje ya barabara kama hilo basi linavyoonekana. Bahati kwetu hakukuwa mtaro na wala miti pembeni.

Zetu zilikuwa hazijatimia!
 
Narudia tena serikali idhibiti hawa madereva wa SAULI [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Ushauri wangu kwa SUMATRA kuhusu magari ya Sauli
Screenshot_2021-08-23-09-46-31-1.png

Juzi tu hii gari ilikamatwa na Simbachawene. Leo imechochora
Screenshot_2021-08-23-09-46-21-1.png
 
Back
Top Bottom