Basi la Sauli lapata ajali Picha ya Ndege, Kibaha. Wanne wajeruhiwa, 40 wanusurika

Basi la Sauli lapata ajali Picha ya Ndege, Kibaha. Wanne wajeruhiwa, 40 wanusurika

Mabasi siku hizi hayafiki mapema, zamani ndinga zilikuwa zinatoboa Mbeya City kuanzia saa nane, Scandnavia na Embakassy ndiyo yalikuwa mwendo wa Kobe, yanaingia saa kumi na moja jioni
Wanabanwa na vile vituo vya ukaguzi. Juzi nimetoka Tunduma, tumefika Mikumi tukaweka kambi kwa kuwa basi lilikuwa limewahi sana. Mungu atunusuru 🙁
 
Hayo mabasi ya Sauli tatizo lake hayaheshimu watumiaji wengine wa barabara...yaani wanajiona wao ndio wao...wanafosi kupita pasipopitika, kuovateki sehemu zisizoruhusu kwa ubabe wakijua watapishwa tu.

Naamini hapo dereva wa lori aliamua kukaza baada ya kuona dereva wa basi kafanya faulo ya kibabe...Na mara nyingi huwa hao sauli wanakuwa wameongozana mabasi mawili….hivyo kupata ajali lilikuwa ni jambo la muda tu na ni haki yao
 
Hayo mabasi ya Sauli tatizo lake hayaheshimu watumiaji wengine wa barabara...yaani wanajiona wao ndio wao...wanafosi kupita pasipopitika, kuovateki sehemu zisizoruhusu kwa ubabe wakijua watapishwa tu...Naamini hapo dereva wa lori aliamua kukaza baada ya kuona dereva wa basi kafanya faulo ya kibabe...Na mara nyingi huwa hao sauli wanakuwa wameongozana mabasi mawili….hivyo kupata ajali lilikuwa ni jambo la muda tu na ni haki yao
Hakuna madereva wazuri kama hawa wa magari ya mizigo ila hawa wa mabasi ya abiria ah utumbo sana..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mm sitaki kuwa shahidi kwenye huo mlipuko
Njia ya Mbeya ina mambo sana,wao ndiyo waanzilishi wa zile hakuna kulala mnatembea usiku kwa usiku mkipigwa mkono mnadanganya mnasafirisha maiti mnaanza kulia kama msiba kweli..

Siku gari itabuma pale Mikumi mbugani usiku sana watajua hawajui kwa mkuu chui..
 
Back
Top Bottom