Mabasi yalikatazwa kusafiri usiku
Haha End of this year nna Plan ya Kwenda Tabora kwa Aunt so Igunga kuku ataliwa tuuuMkuu tunavyo chati hapa najiona nipo igunga natafuna kuku
Mkuu kiukweli mikoa hasa ya huko mambo ya kutafuna ni muruwaaaHaha End of this year nna Plan ya Kwenda Tabora kwa Aunt so Igunga kuku ataliwa tuuu
Ok maana mabasi ya Tabora ni Nbs Hbs ambalo zamani lilikuwa linaitwa SabenaMkuu hilo basi lipo kipindi na ndiyo linapendwa kweli
Barabara zingine kupita ni kutaka majanga tu
Ndiyo si ndiyo njia kuuHivi igunga tabora kuna rami?
Mimi sijapita ila kuna member hapa jamvini kasema haina lami,Ndiyo si ndiyo njia kuu
Hahah...mkuu, ulimaanisha kuku ndege or kuku binadam..!!Siku hiz nikiendaga Tabora napanda za Kahama nishuke Igunga nalala asubuh naamsha Tabora town kuna NBS za Tabora Town to Igunga pale Igunga unapata Kuku wa Kienyeji saafi
Issue ya kuteka magari ya abiria ni issue ndogo sana. Mabasi yote yafungwe GPS na police ndiyo wawe wanaziratibu na ikitokea usiku wakaona gari imesimama basi wapigie simu dereva au conductor. Na kukiwa na shaka basi polisi walio karibu na bus wahakikishe wanalifuatilia. Simple as that. Mabasi yakiwa tracked kwa gps yatakuwa salama sana hata ku overspeed watakuwa hawana tena.
Sehemu ambayo haina lami ni kama kilomita 80 tuMimi sijapita ila kuna member hapa jamvini kasema haina lami,
Hili nalo ni neno mkuu wangu,Mkuu tatizo hiyo njia ni ya kipweke sana,afadhali wangekubali kupitia ile ya kupitia nzega maana ina magari mengi sana na haina mapori makubwa
Mkuu kutoka Itigi mpaka Tabora ni kilomita mia mbili na kitu na hapo katikati hakuna kituo hata kama watatoa taarifa watafika saa ngapiIssue ya kuteka magari ya abiria ni issue ndogo sana. Mabasi yote yafungwe GPS na police ndiyo wawe wanaziratibu na ikitokea usiku wakaona gari imesimama basi wapigie simu dereva au conductor. Na kukiwa na shaka basi polisi walio karibu na bus wahakikishe wanalifuatilia. Simple as that. Mabasi yakiwa tracked kwa gps yatakuwa salama sana hata ku overspeed watakuwa hawana tena.