Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Asante sana aiseeHata nami nakutumia salamu kubwa tu mkuu.
Pokea salamu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana aiseeHata nami nakutumia salamu kubwa tu mkuu.
Pokea salamu zangu
Kwani hajaoa.Acha wivu! Tate Mkuu ni babu yangu na wewe ni wako.
Kila siku tulikua tunamuomba Mungu ampe mwenza na amekupata wewe.
Shukrani Ndugu Yangu. Japokuwa Mimi sio Mpenzi wa Ku- Comment Lakini Tupo Pamoja , Napenda sana Kusoma Na Ku- Like. Mimi,Alfagems samaleko zangu zikufikie popote ulipo mkuu!
Mungu akubariki sana na kukupa fwedhaaaa nyingi sanaaa.
Ujumbe: Penye chuki Kuna h
Alfagems samaleko zangu zikufikie popote ulipo mkuu!
Mungu akubariki sana na kukupa fwedhaaaa nyingi sanaaa.
Ujumbe: Penye chuki Kuna helaaaaa
Wanazeeka wa kijiji huko bhanaNatuma salamu maalumu kwa shemeji na shangazi zangu binti kiziwi na Madame B.
ujumbe: nileteeni mchumba, lasivyo mta zeeka bila kuwa ona wapwa zenu,
Asante mno.Asante sana aisee
Yupo single! Hajawahi hata kukwichikwichi.Kwani hajaoa.
Acha uongoooYupo single! Hajawahi hata kukwichikwichi.
🤣🤣🤣🤣Acha uongooo
😂😂😂😂 Mkuu umerudiMzee wa like min -me samaleko zangu zingine zimfikie popote ulipo
Asante mkuu vp leo mhindi tunampiga kwa staili gani
UMeona.naingizwa chaka🤣🤣🤣🤣
Nashukuru Mungu Niko salama kwakweliTayana wangu,,,nimefurahi kupata salamu zako nimekumiss pia!unaendeleaje?
🤣🤣🤣🤣🤣Mtoto una panda ndege kabisa, halafu una jiita jobless 😁 🤣
Nimerudi nimerudi
🤣🤣🤣🤣 nimemwona yaani karudi tu kabla ya salamu kanitumia salamu