Basilla Mwanukuzi: Wakweli hawatakiwi nchini. Uongozi wangu ni kuweka maslahi ya wananchi mbele hata ikibidi kukosa cheo

Hili ni swali au taarifa?
Hiyo ni taarifa.
Huyo dada anapaswa kwa sasa kutulia. Alipewa cheo kama fadhila (hakuwa na vigezo vyovyote vya msingi kijamii au kisiasa kutumikia umma), leo ametumbuliwa analalamika kimtindo kuwa ameonewa, kwanini alipopewa cheo hakukikataa na kusema amependelewa?

Aliyemteua hapo awali ndiye yule yule aliyemtumbua, kuna kipi cha ajabu?

Kama anaamini ana uwezo mkubwa wa kuitumikia jamii, aitumikie sasa jamii akiwa mtu huru, asilalamike tena, sio lazima awe DC ndio aitumikie jsmii.
 
Hahahahahah kwa style hio hawezi kufa na stress ya hicho kibarua. Na ilikuwa ashindwe tu maana amekulia uzunguni hawezi kuwa na itikadi za kimatumbi huyo. Mzungu daima hawezi kushiriki unafiki sababu ya njaa njaa na ofisi za kibongo bila unafiki huwezi elewana na watendaji wenzio
 

Miss Tanzania
Mixer familia yenye uwezo nongwa ya uDC ya nini? Pesa hupungua sio kama ukitumia haiishi

Ukiwekwa pembeni tulia, kwann hawajifunzi kwa Makamba enzi za Magu
 

Sasa atulie ale pesa za mzee wake, analalamikiaje uDC mtoto w don
 
Anasemaje huyu ? Asifikiri watu walikua hawamjui? Amesahau alichomfanya William Mngazija ?
Amefanya nini Cha ajabu tangu aje hapa?
Korogwe ndio mji pekee hapa duniani ambao katikati yake kunapita mto wenye maji mengi yanayozalisha umeme, lkn Korogwe HAKUNA MAJI YA BOMBA. MIAKA HII MITANO YA BASILA NDIO SHIDA YA MAJI IMEFIKIA KILELENI.
A kwendre huko.....
 
Basila ni jembe...

Ila ukitumbuliwa, tumbuka...vyeo vyenyewe vya kupewa hivyo
 
Huyo dada yupo vizuri kipesa kitambo.

Ana urithi wa kutosha tu wa mijengo prime areas.

Kabla hajateuliwa tu alikuwa anaendesha gari za gharama kuliko v8

Sasa mbona analia Lia kuhusu katumbuliwa. Anyamaze yeye sio wa kwanza.
 
Hivj Basila alitoa zawadi za washibdiwa Miss Tanzania zilizopita?
 
Mheshimiwa vipi, mbona lugha kali sana?
 
Jembe gani? Amefanya Nini zaidi ya kumdhalilisha William Mngazija.

Huko kwenye siasa za majitaka za CCM sijui walivyofanyiana wao kwa wao...

Nimeandika kutokana na kumjua Basila katika utendaji kwenye kada nyingine kiuongozi...

Ndio maana pamoja na kuandika hivyo, nikaweka hitimisho ya kwamba "Ukitumbuliwa, tumbuka...vyeo vyenyewe hivyo ni vya kupewa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…