sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Hili ni swali au taarifa?Kabla ya kupewa uDC alikuwa akiishi kwa 'kuuza chupi', hakuwahi hata kuwaza kuwa mwenyekiti wa mtaa. Baada ya kutunukiwa cheo kisha kutumbuliwa ndio anakuja na ngonjera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni swali au taarifa?Kabla ya kupewa uDC alikuwa akiishi kwa 'kuuza chupi', hakuwahi hata kuwaza kuwa mwenyekiti wa mtaa. Baada ya kutunukiwa cheo kisha kutumbuliwa ndio anakuja na ngonjera.
Hiyo ni taarifa.Hili ni swali au taarifa?
Hahahahahah kwa style hio hawezi kufa na stress ya hicho kibarua. Na ilikuwa ashindwe tu maana amekulia uzunguni hawezi kuwa na itikadi za kimatumbi huyo. Mzungu daima hawezi kushiriki unafiki sababu ya njaa njaa na ofisi za kibongo bila unafiki huwezi elewana na watendaji wenzioBaba yake alikuwa daktari wa kwanza m Tanzania kuwa mkuu wa hospital ya taifa ya muhimbili baada ya uhuru.
Huyo dada amerithi majumba oysterbay, masaki, mikocheni.
Anamiliki kumbi za harusi.
Yaani ana urithi wa kutosha tu huyo basila.
Nazani Ndie miss Tanzania kutoka familia mambo safi kuliko wote kuwahi kutokea
Baba yake alikuwa daktari wa kwanza m Tanzania kuwa mkuu wa hospital ya taifa ya muhimbili baada ya uhuru.
Huyo dada amerithi majumba oysterbay, masaki, mikocheni.
Anamiliki kumbi za harusi.
Yaani ana urithi wa kutosha tu huyo basila.
Nazani Ndie miss Tanzania kutoka familia mambo safi kuliko wote kuwahi kutokea
Hahahahahah kwa style hio hawezi kufa na stress ya hicho kibarua. Na ilikuwa ashindwe tu maana amekulia uzunguni hawezi kuwa na itikadi za kimatumbi huyo. Mzungu daima hawezi kushiriki unafiki sababu ya njaa njaa na ofisi za kibongo bila unafiki huwezi elewana na watendaji wenzio
Makamba alivyotumbuliwa alitulia?si ndiyo yeye akaja na account ya kigogo2014 huko twitter?Miss Tanzania
Mixer familia yenye uwezo nongwa ya uDC ya nini? Pesa hupungua sio kama ukitumia haiishi
Ukiwekwa pembeni tulia, kwann hawajifunzi kwa Makamba enzi za Magu
Makamba alivyotumbuliwa alitulia?si ndiyo yeye akaja na account ya kigogo2014 huko twitter?
Walipata urithi kweli wa kutosha. Ila mipango mibaya na matumizi zote ziliisha. Nasema hivyo sababu nawajuwaHuyo dada yupo vizuri kipesa kitambo.
Ana urithi wa kutosha tu wa mijengo prime areas.
Kabla hajateuliwa tu alikuwa anaendesha gari za gharama kuliko v8
Laiti ungefuatilia utendaji wake usingemlaumu alikuwa Kiongozi mkweli na anayesimamia ukweli
Huyo dada yupo vizuri kipesa kitambo.
Ana urithi wa kutosha tu wa mijengo prime areas.
Kabla hajateuliwa tu alikuwa anaendesha gari za gharama kuliko v8
Walipata urithi kweli wa kutosha. Ila mipango mibaya na matumizi zote ziliisha. Nasema hivyo sababu nawajuwa
Hivj Basila alitoa zawadi za washibdiwa Miss Tanzania zilizopita?Na Basilla Mwanukuzi
KUNA CHA KUJIFUNZA
Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo)
2. Pili kuleta matokeo
Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta matokeo halafu kwenye mnyororo wa kuleta matokeo kuna watu wanaamua tu kua hayo matokeo sio shida zao...yani vile haraka ya nini??...hakuna matata...no hurry in Africa...ilihali wananchi wanaumia na kuteseka alafu na wewe ukaendelea kutulia tu kwenda na 'trend'
3. Kuleta matokeo kwa wakati
Muda ni kila kitu Serikali inafanya kazi kubwa MNO kuleta fedha kwa ajili ya wananchi inaleta fedha na muongozo mradi uishe ndani ya miezi 3. Inapaswa uishe ndani ya miezi 3 sana sana ukichelewa kidogo basi siku chache za nyongeza sio kama hapo ambapo ujenzi wa miezi 3 umechukua miaka 3 na fedha inaisha mradi haujaisha . Zahanati zote 3 . Wananchi wanateseka hawapati huduma
HAIKUBALIKI duniani wala mbinguni.
Uongozi ni dhamana, uongozi ni UTAKATIFU utakatifu uwe sio kwa mtu mmoja , ukiwa kwa mtu mmoja matokeo yake you will be THE ODD ONE OUT.
Uongozi ni UJASIRI
HASARA YA AINA HII YA UONGOZI (kama ni 'Hasara")
1. Utagombana na wote wenye maslahi yao hata ambao wanatakiwa kukuandikia taarifa zako (unaweza kuimagine watakachoamua kukuandikia ) kifupi utaharibiwa ma-file (uwe tayari)
FAIDA
Faida ni KUBWA ZAIDI utabaki na uadilifu wako na uaminifu wako , kwako , kwa nafasi yako, kwa mamlaka yako ya uteuzi, kwa WANANCHI, kwa Taifa lako, na kwa Mungu wako . Utakua na furaha na amani ya moyo
SWALI ambalo kila Mtanzania anatakiwa ajiulize kwa nini Mtandao wa wenye MASLAHI unanguvu ina maana kuna unakoanzia na kuna ukoishia. Ukideal na unakoishia unajikaanga na mbaya zaidi hata wanaotakiwa kuungana nguvu na wewe badala yake watakua wanaongeza mafuta ukaangike vizuri
Mwenyezi Mungu aendelee kumpa mwanga Mhe Rais wetu @samia_suluhu_hassan katika kuliongoza Taifa
Kumpa wasaidizi wenye mioyo safi kutoka kila NGAZI na kila IDARA na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Ili tufike tunakotakiwa kufika kama Taifa
Instagra: basillamwanukuzi
Basila ni jembe...
Ila ukitumbuliwa, tumbuka...vyeo vyenyewe vya kupewa hivyo
Mheshimiwa vipi, mbona lugha kali sana?Hata kama, ila si analaliwa, kuna mtu anamlalia juu, asilete dharau kwa kujiweka matawi ya juu, si ajabu saa hz anapigwa mbuzi kagoma ruka ukuta, kaonyesha dharau sana kujiona yuko peponi, hana adabu, pumbaf, hana cha maana, sura ngumu kama msukuma Dr. Fake
Jembe gani? Amefanya Nini zaidi ya kumdhalilisha William Mngazija.