BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Hii point sana,huenda aliua kwenye kupata utajiriBaba yao tunaambiwa alikuwa tajiri sana... Utajiri una mengi ndani yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii point sana,huenda aliua kwenye kupata utajiriBaba yao tunaambiwa alikuwa tajiri sana... Utajiri una mengi ndani yake
Hii imetokea kwa familia aliyoolewa mama yangu Mkubwa Kilimanjaro kule Kikweni.Kila mwezi wa 6 ilikua anakufa mtoto wa kiume,naona wamepoza sasa,ilikua hatariAlafu nimesikia mmoja wa marehemu tarehe alokufa ndo hiyohiyo alikufa mdogo wake mwaka jana
Hii imekaaje
Mshana nasikia na Jumanne ni siku mbaya sanaNa birthday yake ilikuwa tar13, tarehe inayoogopwa mno na wazungu.. Zaidi mdogo wake alikufa last month same date
Nipe maandiko yanayo sifia pombe hasa yanayo toka katika vitabu takatifu.
Very true..Silaha tajwa tayari imeshaondoka na roho mbili na tayari iko mikononi mwa jeshi la polisi.. Haijajulikana kama mmiliki alinunua 'used' au brand new!
Kama kanunua mtumba ni kwamba hapo kabla ilishawahi kutumika mostly ilishauwa.. Wangapi? Haijulikani..labda mpaka kupata historia yake..! Kama kanunua mpya na yeye ndio mtumiaji wa kwanza basi kama sio silaha yenyewe basi pesa iliyotumika haikuwa na baraka.. Ilikuwa na mazonge..Na tayari silaha husika imeshaingia kwenye ulimwengu hasi
Kimsingi hakuna kesi tena ...! Muuaji naye kajimaliza.. Jalada litafunguliwa kisha baada ya muda litafungwa! Hakuna mshtakiwa...kidhibiti kinaweza kuwa huru na kuingizwa kwenye mirathi ama vinginevyo
Kama kitaingizwa kwenye mirathi kitakuja kuuzwa kama mali za marehemu .. Silaha hairithishwi.. Mnunuzi anaweza kutafutwa na ndugu na itauzwa kupitia jeshi la polisi na kitakachopatikana atakabidhiwa msimamizi wa mirathi
Silaha iliyoondoa uhai wa mtu hasa at close range ni dili sana kwa majambazi na wezi wanaotumia silaha kupora ama wauaji wa kukodishwa! Hiyo tayari ina damu kubwa hivyo kafara lake ni rahisi.. Silaha iliyouwa maranyingi zaidi kishirikina ina thamani kubwa zaidi kuliko ile ambayo haijawahi kuondoka na roho hata moja! Hivyo hii silaha ya Sinza inaweza kuwindwa na watu wabaya...!
Kwa upande mwingine ile silaha inawezekana kabida ina nuksi, laana ama imebeba maagano mabaya hasa kama ilikuwa mtumba...! Kuna vitu ni mali ya kuzimu na kazi yake ni kuharibu na kuumiza tuu..Ndio maana kuna watu hawapendi kabisa kununua vitu mtumba..vingi vimebeba nuksi laana na maagano kama nilivyosema hapo juu..!
Tukio limeshatokea na kuzua mijadala mingi mitandaoni.. Pengine kuna watu watawajibishwa hasa kama utaratibu wa kummilikisha mhusika silaha haukufuatwa inavyotakikana
Niandikapo haya kuna familia mbili ziko kwenye msiba mzito.. Wa kuondokewa na baba, kaka mume nknk.. Tayari kuna maisha mapya wanaenda kuyaanza bila mhimili wa familia.. Ni hali ngumu sana..
Haya yote yatasahaulika baada ya muda.. Na itafika mahali kama silaha husika haitateketezwa na jeshi la polisi basi itaingizwa kwenye mirathi na kuuzwa kwa mwingine...
Kuna maroho na mapepo ya kuzimu yapo duniani kuharibu na kutesa na hujipenyeza kwenye vitu na watu... Haya mavitu ya mtumba tunayotumia hatujui huko nyuma yalipitia mikono gani na yalinenewa nini.. Kuna baadhi vimebeba mapepo mapepo na maroho mabaya
Kuna baadhi vimelaaniwa na wamiliki wa kwanza au wa pili nk
Kuna baadhi vimenenewa vibaya
Kuna baadhi vimetumika kwenye madhabahu za kishirikina
Jitahidi unapopata kitu cha mtumba kitakase kwa imani yako
Nimeandika mada hii kwa mtazamo wa kiroho.. Wanaoona ni tukio la kawaida wasione ni kituko kuwaza tofauti na wao..!
View attachment 1858067
Walifanya kwa usiri mkubwa tena usiku.. Unakumbuka wakati wa Mkapa zile ajali? Kuna yule mzee walimuua baada ya kukutwa eneo la ajali anakusanya úbongo na damu za marehemu na kuweka kwenye rambo yakeUmeandika 'fact'.
Kuna jamaa yangu alifariki kwa ajali ya kugoga mwembe kwa gari.
Ile sehemu iliyogongwa, walichubua magome yote mpaka wakaokota uvingiri uliosambaa pale chini pamoja na ule 'unga' wa vioo vilivyotapakaa damu, vyote walifagia wakazoa!
Muda wa kubangua hayo magome na kufagia vioo wanaujua wao maana hatukuona mtu akifanya hilo tukio!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni michezo ya wanga..hawaendi wala hawarudi wapo tu hapo nje wanaginindaUlozi Man, hivi usiku Mara nyingi nasikia mtu anatembea nje,the way anavyotembea hujui anaenda mbele au anarudi nyuma, Mara nyingine nimekaa sebulen mida ya tisa usiku naangalia televihmseni, nikahisi hatua zinatembea kwa muds mrefu dirishani mwangu nkkamute remote nisikilize ghafla hali ikapotea nlivyochungulia dirishani naona tochi inatembea inamulika, mmulikaji haonekani yaweza kua vibaka type au kuna ushirikina involved!?
Ulimwengu wa roho hututangulia kuona kabla yetu.. Mpaka litokee ndio tunapata tafsiri sahihiMshana Jr Huyu jamaa ni kama alijitabiria au kuna roho ilimuandama pasipo yeye kujijua.
Hii picha alipost kwenye birthday yake june mwaka huu akiwa na hiyo keki yenye bastola View attachment 1859093