Bata ana nini jamani? Nimeenda kwa waganga wengi sana, sijaona anayeagiza bata

Bata ana nini jamani? Nimeenda kwa waganga wengi sana, sijaona anayeagiza bata

Mshana Jr mzee wa bata siku 5460, naomba jawabu lako. Damu ya bata ina nini kiasi kwamba haitakiwi na waganga, haitakiwi kwenye tambiko na wala haitakiwi kwenye zindiko?
Sasa kama anakula hadi Mavi unaona anafaa huyo Mkuu? Umeshawahi Kuwafuga hawa? Wakikusikia uko Chooni Unakunya ( Unaukweka ) wanakuja kuwa karibu nawe huku wakifurahi kwani wanajua umewakumbuka kwa Chakula chao Tukuka.
 
Bata ni najisi kama alivyo kitimoto..hata shetani na washirika wake wanafahamu hilo..ndio mana katu huwezi kwenda kwa mganga au any rituals ukakuta wanatumia hao wanyama.

#MaendeleoHayanaChama
Mbna umughaka UMUGHAKA alituambia kuwa amewakuta Bata kwa kina Monica na wew unasema uwezi kuwakuta Bata kwa waganga ,Monica kwao wachawi ila bta wapo wakutosha
 
Sasa kama anakula hadi Mavi unaona anafaa huyo Mkuu? Umeshawahi Kuwafuga hawa? Wakikusikia uko Chooni Unakunya ( Unaukweka ) wanakuja kuwa karibu nawe huku wakifurahi kwani wanajua umewakumbuka kwa Chakula chao Tukuka.
Dah.... Mkurya una husuda sana wewe, loh
 
Bata ana mikosi saña kama siyo mkosi bin nuksi waulze madereva wanaojua jins wanavyomkwepa bata akijichanganya kwa gar kwanza ukimgonga unaweza kutana ña balaa jingne huko mbele ya safar yako bata siyo poa
Kwa Uingereza ukigonga bata au kondoo unafutiwa leseni yako
 
Back
Top Bottom