Bata ana nini jamani? Nimeenda kwa waganga wengi sana, sijaona anayeagiza bata

Bata ni najisi kama alivyo kitimoto..hata shetani na washirika wake wanafahamu hilo..ndio mana katu huwezi kwenda kwa mganga au any rituals ukakuta wanatumia hao wanyama.

#MaendeleoHayanaChama
Kama ni najisi sawa na kitimoto, MBONA Kuna mtu wa swala 7 anafuga Bata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bata ni najisi kama alivyo kitimoto..hata shetani na washirika wake wanafahamu hilo..ndio mana katu huwezi kwenda kwa mganga au any rituals ukakuta wanatumia hao wanyama.

#MaendeleoHayanaChama
Alikuambia Nani au ulisoma wapi kuwa bara ni najisi?
 
Si kweli hata kidogo..
Ukiwa unaendesha gari kuwa makini sana na wanyama MAZEZETA wanapovuka barabara....mfano.ng'ombe..tembo..bata..n.k. hata faini yake ni kubwa tofauti na wanyama CHAKARAMU kama mbuzi...ngiri..kwake..kuku..paka n.k...hawa ukiwagonga wewe chap lapa.
Kuku ni wajinga Sana barabarani bora bata yeye yupo straight, kuku anaweza akaenda, mara ghafla akarudi,yani kumgonga ni kugusa tuu
 
Kiroho ni mnyama mchafu asiyechagua cha kutia mdomoni kama NOA[emoji200] kuna mada nadhani nimefafanua wanyama wafaao kwenye hizo shughuli

Cha pili ni uzito wake si mwepesi na ni goigoi, kutumia damu yake kutachelewesha mchakato mzima ea nguvu ya dawa husika

Anapenda tope, unyevu na mazingira machafu, anaharisha hovyo! Unyevu na tunguli haviivi
Inakuwaje kondoo alitumika sana kwenye kafala huko kale tofauti na sasa? Kondoo pia sio mchangamfu kivile kama Mbuzi, vip kuhusu kumtolea kafala?
 
Kondoo kafara, mbuzi ushirikina
 
Kiroho ni mnyama mchafu asiyechagua cha kutia mdomoni kama NOA[emoji200] kuna mada nadhani nimefafanua wanyama wafaao kwenye hizo shughuli

Cha pili ni uzito wake si mwepesi na ni goigoi, kutumia damu yake kutachelewesha mchakato mzima ea nguvu ya dawa husika

Anapenda tope, unyevu na mazingira machafu, anaharisha hovyo! Unyevu na tunguli haviivi
Naomba jina la uzi uliotaja wanyama, link ntatafuta mwenyewe
 
Bata ni najisi kama alivyo kitimoto..hata shetani na washirika wake wanafahamu hilo..ndio mana katu huwezi kwenda kwa mganga au any rituals ukakuta wanatumia hao wanyama.

#MaendeleoHayanaChama
Bata Najisi Kwako Au Huna pesa Ya Kuafford Bata Sema hivo.
 
Back
Top Bottom