Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Hata kuku anakula kinyesi ndgSasa kama anakula hadi Mavi unaona anafaa huyo Mkuu? Umeshawahi Kuwafuga hawa? Wakikusikia uko Chooni Unakunya ( Unaukweka ) wanakuja kuwa karibu nawe huku wakifurahi kwani wanajua umewakumbuka kwa Chakula chao Tukuka.