Bata ana nini jamani? Nimeenda kwa waganga wengi sana, sijaona anayeagiza bata

Bata ni najisi kama alivyo kitimoto..hata shetani na washirika wake wanafahamu hilo..ndio mana katu huwezi kwenda kwa mganga au any rituals ukakuta wanatumia hao wanyama.

#MaendeleoHayanaChama
Kama ni najisi sawa na kitimoto, MBONA Kuna mtu wa swala 7 anafuga Bata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bata ni najisi kama alivyo kitimoto..hata shetani na washirika wake wanafahamu hilo..ndio mana katu huwezi kwenda kwa mganga au any rituals ukakuta wanatumia hao wanyama.

#MaendeleoHayanaChama
Alikuambia Nani au ulisoma wapi kuwa bara ni najisi?
 
Kuku ni wajinga Sana barabarani bora bata yeye yupo straight, kuku anaweza akaenda, mara ghafla akarudi,yani kumgonga ni kugusa tuu
 
Kunya anye kuku. Akinya bata aharisha shekhe.
 
Inakuwaje kondoo alitumika sana kwenye kafala huko kale tofauti na sasa? Kondoo pia sio mchangamfu kivile kama Mbuzi, vip kuhusu kumtolea kafala?
 
Kondoo kafara, mbuzi ushirikina
 
Naomba jina la uzi uliotaja wanyama, link ntatafuta mwenyewe
 
Bata ni najisi kama alivyo kitimoto..hata shetani na washirika wake wanafahamu hilo..ndio mana katu huwezi kwenda kwa mganga au any rituals ukakuta wanatumia hao wanyama.

#MaendeleoHayanaChama
Bata Najisi Kwako Au Huna pesa Ya Kuafford Bata Sema hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…