D Dodoma leo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,336 Reaction score 1,658 Mar 4, 2023 #61 GENTAMYCINE said: Sasa kama anakula hadi Mavi unaona anafaa huyo Mkuu? Umeshawahi Kuwafuga hawa? Wakikusikia uko Chooni Unakunya ( Unaukweka ) wanakuja kuwa karibu nawe huku wakifurahi kwani wanajua umewakumbuka kwa Chakula chao Tukuka. Click to expand... Hata kuku anakula kinyesi ndg
GENTAMYCINE said: Sasa kama anakula hadi Mavi unaona anafaa huyo Mkuu? Umeshawahi Kuwafuga hawa? Wakikusikia uko Chooni Unakunya ( Unaukweka ) wanakuja kuwa karibu nawe huku wakifurahi kwani wanajua umewakumbuka kwa Chakula chao Tukuka. Click to expand... Hata kuku anakula kinyesi ndg
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Mar 4, 2023 #62 Shida ya waganga ni kuku ili wapate kitoweo , nawashauri waagize Bata kwani ni mtamu kuliko kuku na nyama zake ni nyingi.
Shida ya waganga ni kuku ili wapate kitoweo , nawashauri waagize Bata kwani ni mtamu kuliko kuku na nyama zake ni nyingi.