Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What is Shang?
Sheng ni broken Swahili.
Sasa unapata wapi ujasiri wa downplay kuwa dominant languages ni mbili, Swahili na English?🚮
 
Nairobi - Marua = 144km
Dodoma Ring Road = 110km
But Dodoma Ring Road ndio the longest Dual Carriageway in East Africa according to Bongolalas. 🤣 🤣
Barabara za kuunga unga usitutajie mzee. 😂😂😂 njia yenyewe exclusive ni 84 km long. Unalazimisha uingie league ya Dom.? 😂😂😂
 
Source, Explore with Bertin tiktok.😂😂😂😂
View attachment 3699002

Bertin yupo sahihi. Mnadhani mnaeza danganya nani dunia hii iliyowazi kama ****** wa mbuzi. 😂😂😂 your fellow kenyan alifanyax review kwa hiyo barabra. A 84 km dual carriage way. 👇🏾
View: https://youtu.be/4DnOIHhQC-M?si=k3msKaqKS0xC0BQp. Halafu sio tu kuzidiwa urefu, hata standards dom ring road is far better. 😂😂😂
 
Using your logic, then Dodoma ring road is 4 different parts hence not continuous since there are 2 main roads crossing over … you can’t have it both ways so cut the crap …🤣🤣🤣
 
Hadi huko nje ya mji,huwezi kujenga nyumba hata ya ghorofa 1 bila geotechnical report survey,kibamba kuna jamaa yangu alitaka kujenga kighorofa kimoja surveyor alipocheck eneo akaweka remarks,ikabidi auze kwa hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…