BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Nachoweza kusema engineer akili za darasani anazo ila huko alishatoka,atafute akili ya maisha,aache dharau,kejeli na matusi and above all amu acknowledge the Lord almighty ili aweze kutranslate akili yake iwe real success
Mi nina wasiwasi mkuu kuwa Engineer hana hata hizo akili za darasani kwa matendo yake
 
Lazima atakuwa amesoma katika shule ya vipaji za serikali, wengi wao ndio wapo hivyo kujisifu kuwa wao wakali. Tabia hiyo wanayo hata wakiwa makazini, ila katika maisha uwa wanapigwa gap kubwa sana. Siunajua hao wazee wa kukariri na kusoma sana.
 
Waswahili husema ukitaka kuruka agana na nyonga,

Ndio hasara za kutishia kujamba wakati unaharisha

Pole Bush engineer
 
Usihofu mama,kushindwa kwa mwanasayansi mmoja hatujashindwa wote!hata wa arts mbona alosto wengi tu,hapa ni engineer mmoja na mtaalamu wa lugha mmoja,character ya mtu ni character yake tu hata asome aerospace engineering au law harvard
Nipe 50 kama aliyopewa amu
 
Hahahahahashsh napitia comment za CCNP engineer nacheka sana aisee hahahahahahahahahahahahahahahahahahahah

Mara sijui kaokota nywele saluni

Mara anapiga punyeto

Mara sijui kajamba

Mara sijui kadindisha kinyama hahahahahah

Daah CCNP ENGINEER FULL COMEDY BWAJAHAHAHAHHAHAH

Ila jamaa nampa salute ya kubutua AAA PLUS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…