Mwanamme hawezi andika maneno kama haya tena kwa mwanamme mwenzake, lazima utakuwa na shida sehemu flani. Halafu umetoa vi sifa vya kijingajinga.
Unamdharau mtu aliesoma HKL wakati unaweza ukakuta ndio anakuajiri na hako ka degree kako ka Telecom, wabongo tunapenda sana sifa za kijinga. Yaani kuwa na hicho ki degree ndio unaona umeukata na kuwatambia wenzako.
Angalia akina Zuckerberg, Bill Gates, Bakhressa, Manji n.k hawana huo ujinga unaoutambia lakini ndio wanatesa na maisha, hata ulio watolea mifano akina Ronaldo na Mayweather hawana elimu lakini wanatesa na maisha.
Leo wewe unakuja na ki degree chako uchwara unaanza kumtusi mtu. Ya nini yote hayo sasa na jamaa umemwandama kweli hata kwenye uzi mwingine umetema shit kuhusu yeye, mtoto wa kiume acha wivu usije kuta wewe ndo unayo yale unayomtolea yeye.