Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
GDP ya Mbeya imebebwa na mkoa wa songwe wilaya ya Chunya.na tunduma ebu ikate Mbeya na songwe kwenye GDP uoneLakini mbeya kuna fursa nyingi za kibiashara na uchumi kuliko huko loliondo(arusha)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]