Hii tuzo anaweza kuichukua eddy kenzo Ana adavantange sn ya hii ligi ya bwana tembo vs Mr icon
show me the money ilistahili tuzo mbili best song best video ila cjui wizkid aliwafanya nnMe nimeipenda sema ile video ya sheyi shay ft wiz kid ilikuwa nzuri zaidi
hata huko ug wana kaupinzan Eddy Kenzo vs Bebe Cool hivyo mwenye advantage hapo ni Jaguar ingawa hana nguvu
show me the money ilistahili tuzo mbili best song best video ila cjui wizkid aliwafanya nn
Kura nitapiga na Majaji wataamua,lakini mbona huyo wizkid mtv hakupata tunawezaje kumuofia na huyo Davido si alikuwa kategori 4 mtv kapata 1 kama DIAMOND aliyekuwa kategori 3.basi msipige kura mana davido na wizkid wapo category moja na sai
Kura nitapiga na Majaji wataamua,lakini mbona huyo wizkid mtv hakupata tunawezaje kumuofia na huyo Davido si alikuwa kategori 4 mtv kapata 1 kama DIAMOND aliyekuwa kategori 3.
N yule yule tena mswahili wa waswahili, kijana from tandale.....let's vote!!!
Kimbley, Dinazarde, Heaven on Earth, Kim nana, mzurimie, Eshy m.s, jMali, dwoxye, Kidingi, BansenBurner.. Vote vote vote
Ni mwenye hekima tu ndiye anayeweza kuiona hekima niliyotumia katika kumjibu huyo jamaa.Hili jibu kama huyu jamaa ana akili hata ya kuvaa nguo, lazima atafakari sana. well done my sister.!! proud of you for real
baby ooh! [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=NANA]#NANA [/URL]
baby ooh! [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=NANA]#NANA [/URL] .
[DIAMOND PLATNUMZ]
Ha ha ha pwilooo naona unakubali kiainatuzo ambayo dai anaweza shinda labda hiyo ya category na kiba ila hizo zingine asahau
Kwenye tuzo za MTV tuliona amsha amsha zako mama, again plz, uwe unatuwekea link mara kwa mara tuvote