Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

U go vote, wat mater most ni Ushindo uje Tanazania, i dont care nani atachukua btn them, ila uje Tanzania..
 
Hii tuzo anaweza kuichukua eddy kenzo Ana adavantange sn ya hii ligi ya bwana tembo vs Mr icon

hata huko ug wana kaupinzan Eddy Kenzo vs Bebe Cool hivyo mwenye advantage hapo ni Jaguar ingawa hana nguvu
 
Duh! We jamaa naona una utani na Kiba... yaani wamekutana wapi wakati mmoja amekuwa nominated kwenye SINGLE category na mwingine SIX different categories zinazomuhusu yeye moja kwa moja na ya saba aliyoshirikishwa??!! Sema jamaa kana-improve, from KTMA to AFRIMMA East Africa Category!!!!
 
Me nimeipenda sema ile video ya sheyi shay ft wiz kid ilikuwa nzuri zaidi
show me the money ilistahili tuzo mbili best song best video ila cjui wizkid aliwafanya nn
 
hata huko ug wana kaupinzan Eddy Kenzo vs Bebe Cool hivyo mwenye advantage hapo ni Jaguar ingawa hana nguvu

Ndio wanatupianaa maneno sn kwny media ngoja Mara Bebe cool amuambie eddy n underground tuone nani atafaidika n izi team za ug n tz
 
basi msipige kura mana davido na wizkid wapo category moja na sai
Kura nitapiga na Majaji wataamua,lakini mbona huyo wizkid mtv hakupata tunawezaje kumuofia na huyo Davido si alikuwa kategori 4 mtv kapata 1 kama DIAMOND aliyekuwa kategori 3.
 
Kura nitapiga na Majaji wataamua,lakini mbona huyo wizkid mtv hakupata tunawezaje kumuofia na huyo Davido si alikuwa kategori 4 mtv kapata 1 kama DIAMOND aliyekuwa kategori 3.

Mtu pekee ambaye ni threat kwa Diamond ni Davido, sielewi kwanini anamtaja Wizkid ambaye sijawahi sikia akipata tuzo za kimataifa, hata huko kwao anaburuzwa sana na Davido.
 
Hili jibu kama huyu jamaa ana akili hata ya kuvaa nguo, lazima atafakari sana. well done my sister.!! proud of you for real
Ni mwenye hekima tu ndiye anayeweza kuiona hekima niliyotumia katika kumjibu huyo jamaa.
Nachelea kusema nawe ni mmoja wao...
Thank you my brother....
Proud of you too...
 
Hahahahahaaaaa yaani Kibba hana kick ya kollabo na msanii wa nje na bado watu wameona kwamba kuna kitu ndani yake....kawanyooshe baba maana they are stubborn...na wanajifanya hawajui thaman yako in BF industry...huwezi mfananisha NYERERE na KIKWETE ever..
 
ivi zile nominations zimeandikwa tandare au kariakoo? mi nimeona TANZANIA izo mambo za team sijaona pale chakufanya ni kuipaisha nchi kwa wote walio chaguliwa am gona vote for diamond, vanessa khadija ,kiba, ommy na kama kuna nisie mtaja nita vote tu ili mradi TANZANIA chuki na roho ndogo ni udhaifu wa nafsi sisi sote ni wamoja na wachukia sana mnao weka ushabiki mbele badala ya kuweka taifa mbele lets join force as Tanzanians and keep voting to the nominees kitaeleweka tu ama nn washkaj. PAMOJA TWAWEZA!
 
Back
Top Bottom