Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

point #obo badest well explained mi c mpigii tena bora nimpigie wizy hizo category nyingne nyambaafu
 

Sasa huyu kiba alifanya kolabo n wiz kid lini :what: nackia ile kolabo n bella mnadaiwa studio bado hajalipa
 

Kila tuzo n utaratibu wke mbona MTV walimuweka diamond,best upcoming 2010 n mbagala
 
Naona mondi ana vipengele 6 na watz wengine ni moja moja tu
 
Hilo halina ubishi,Halafu kwenye Msanii chipukizi tumpigie Kiss DANIEL wa Naijeria jamaa anatisha kinyama,Dimpozz simpigii hata kwa kitanzi na unafiki ule
Ha ha ha hapa ndo lesson sasa mtu anapowakilisha nchi basi tueke ushabiki kando, okay okay director wa video kura zangu kwa godfather #kirohombaya
 
Hahahaha weni ze oldi wichi izi baki wati du tu ekspecti ledha zani spriding wizadri pawa.hahahaaa

Afta 30 deyzi ovu fastingi zeni shi izi baki ini ze woridi ovi sinsi hahahaha so jokiizi tu sa GODI shua.

Wayi bekozi shi prosidingi hetingi pipo endi hetingi izi wani ovu ze sosi ai mini rutisi ovu sinsi hahahahah

Yakhe njoo upate kidogo kikombe cha kahawaa ..we wasusa wenzio twalaa!
 
Jamen,there is somthng wrong kwenye hiz nominations,me nafikir kimataifa Alikiba should be considered kama underground,coz Ommydimpoz Yuko kimataifa kuliko Kiba..?!.
 

Mkuu me nakuelewa sana...sana maana ili CHIBU ajiakikishie ushindi wa tuzo zote 6,ilibidi tusigawanyike yani TEAMONDI NA TEAMKIBA wote tumuunge mondi mkono na ili hili lifanikiwe inabidi TEAMMONDI pia waungane na TEAMKIBA kumpigia kiba naye achukue ile moja...huku kwa pamoja pia tukiungana kuwapigia waTZ wengine ambapo MONDI NA KIBA hawapo na kwa namna hii ndo njia pekee ya kuzipata izi tuzo zote hapa TZ,tatizo teamondi wanajikuta sana...pasipo kupima nguvu ya upande wa TEAMKIBA ambao kwa hakika naamini MONDI alikuwa na uwezo wa kupata zile tuzo zote tatu za MTV's MAMA lakini kwa mpasuko huuhuu ulifanya jamaa arudi na tuzo moja tu home na kwa hakika kabisa kura za TEAMKIBA alizopigiwa davido ndo zimemzidi MONDI na kupelekea davido kuchukua ile BEST MALE wakati wote kwa pamoja tungemuunga mkono Mondi lazima tu angepata zote tatu amini usiamini na hilo wazo la TEAMMONDI kusema eti MONDI anamashabiki hadi nje ya TZ hivyo lazima atashinda tu ni kitu kisicho chakuamini sana na wachukulie mfano mmoja tu mbona hakuchukua zote za MTV's.???,kwani hao mshabiki wa nje kawapata leo hii????,teamondi wakubali wakatae nguvu ya TEAMKIBA imemdhuru MONDI kwenye MTV's MAMA,Na huo ndo ukweli halisi.kwa hiyo TEAMMONDI wachague wapate tuzo 6 kati ya zile 7 kwa kuungana na support ya TEAMKIBA uku nao wakimpigia KIBA ili apate ile moja pia AU Wasiungane na TEAMKIBA kumwezesha KIBA kupata iyo moja na wao wapate mbili au tatu kati ya zile 7.
-MY TAKE:Kuzuia hili lisitokee tena kwa Mara nyingine "WE HAVE TO PLAY THE GAME OF THE BENEFIT FOR OUR NATION"...tween these two bongofleva gangsters i.e KIBA & MONDI.
 

Mkuu hizo tuzo za nje majaji wana asilimia 70%,suala la uwingi wa kura halipo kabisa katika kupata mshindi!kama ulikua unafatilia vizuri kwenye MTV mama Jose chameleon ndio alikua anaongoza kwa uwingi wa kura kwenye ile category yao!mbona hajashinda??

Kura tunazopiga sisi zina asilimia 30% tu,kwenye tuzo hizo za nje kura hazimati sana zaidi ya kazi na uwekezaji wako katika mziki.
 
Kiba oyeeeee BEST MALE halina ubishiii.
Hahahaaaa walijivuna sana ooohh saizi ya kiba ni kill hahahaaaa hatareeeee lazma mlale mkiwa mmesimama....
Nyimbo mbili tuu zimewatoa jasho ivyo vipi akiweka na ya tatuu?
K 4 real

Hao jamaa ni watu wabaya sana...kumbuka walimshindanisha KIBA na shilole wakati uyo shilole hajawai ata kuwa nominated kwenye KTMA tu,Mara sasaivi waseme mrisho mmpoto...bhasi tu ili mradi wana wayawaya kiukweli wanajisumbua "IT'S ONLY A MATTER OF A TIME NEEDED FOR THE KING TO PROVE THEM WRONG!!!
 
Kama umeona mtv basi hapa huta tumia nguvu sanaaa kuumiza kichwa ni nani anachukuwa..mtu anawezaje kuchaguliwa mara sita afu ashindwe kuitetea tuzo ambayo anamiliki nyumbani kwake so hiyo mwenyew anajulikan

Sawa bhana yote kheri...ngoja sie tuvote then we gonna see the end of this,nadhani tatizo kubwa ni kwamba sisi waTZ tumezoea kuishi kwa mazoea!!!
 
Koh koh koh undersandn't you?
 
In the presence of dynamq from south Sudan kiba has no chance to win

Kwanza wewe jamaa futa ile KAULI yako ulivyosemaga kule kwenye Uzi wetu wa kiba then ndo usikilizwe sawaaa???,ulimwambiaga mwenzio kidingi "kiba apate nomination kwenye TUZO ZA KIMATAIFA kwa nyimbo gani anazoimba",Hahaahaaa!..it's so funny b'coz he has proven u hater!!!
 

Okey kiba kaingia kwny nomition ila hajaingiza nyimbo
 
Sema best male east hata peter msechu aliingia kabla ya kiba last year akatusaidia kubeba tuzo yetu tutamtuma kiba atuchukulie pia tuzoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Tupe ata screenshots tu tuamini mzee,vinginevyo wewe ni muongo tu kama waongo wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…