Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards


Hahahaaa hivi mna nini lakini? Nisameheni mwenzenu, mnanivunjia mbavu lol!
 
Et nitafurahi n shoo halafu izi afrimam zina nichanganya sn zipo mbili kuna ile ya marekani n za Nigeria cjajua km mdhamini anakuwa huyo huyo mmoja

Acha uongo wewe embu tuletee link ya AFRIMMA ya NIGERIA fasta,maana hiyo hapo juu nimeweka mwenyewe ukiweza nenda kwenye "ABOUT US"...usome biography yao,sawaaa???
 

Tuna 30% ya ku contribute katika ushindi. Halafu leo hii ndo umejua kuhamasisha watu waungane? Mimi nitoeni kwenye muungano .
 
Uzuri wa wanaoandaa hizi TUNZO si bora liende USHINDI WA KURA UNA NAFASI WA 30% NA WA MAJAJI NI 70% HII INA MAANA KWAMBA KUNA VITU MAJAJI WANAJIRIDHISHA ZAIDI YA KURA UTAKAYOPIGA.

Mkuu "NO EVIDENCE,NO RIGHT TO ARGUE"... right?, embu lete link yenye criteria za AFRIMMA AWARDS zinazotumika kuchagua WINNERS ili tuamini ayo uyasemayo bwana Sams,usituletee habari za MTV's hapa.
 
Acha uongo wewe embu tuletee link ya AFRIMMA ya NIGERIA fasta,maana hiyo hapo juu nimeweka mwenyewe ukiweza nenda kwenye "ABOUT US"...usome biography yao,sawaaa???

That's y nilisema zina nichaganya kumbe kuna afrimma ya us n kuna afrima ya Nigeria n zote last year diamond alichukua tuzo best east katika awards zote izo mbili so ipo ivi afrimma ya us alingia Ben Paul halafu afrima ya Nigeria alingia peter msechu upo
 

We jamaa una jitahidi kwa nguvu zako zote kuficha mahaba lakini u nashindwa. Rejea post yako ya #253 . Uliandika nini na sasa umeandika nini!
Unajua tulichofanyiwa humu kipindi cha kupiga kura za MTVMAMA?
#uzalendouchaguzimkuutu !
 

Mkuu Sijakuelewa ujue kwani kitendo cha wao kuwekwa kwenye category moja yani "BEST MALE ARTISTE EASTAFRICA"...sasa hapo siwamekutana au umeelewaje labda?
 
Tupe ata screenshots tu tuamini mzee,vinginevyo wewe ni muongo tu kama waongo wengine.

IPO ivi afrimam aliingia Ben Paul kabla ya huyo kiba wenu halafu afrima aliingia peter msechu n wimbo wa nyota
N.B Diamond alishomba tuzo zote ktk kipengele cha best male east ktk awards zote
 

Attachments

  • 1437504724145.jpg
    54.5 KB · Views: 90
  • 1437504739042.jpg
    32.4 KB · Views: 83
  • 1437504834533.jpg
    26.2 KB · Views: 87
  • 1437504855482.jpg
    25.4 KB · Views: 84

well said & truth noted here!!!
 
moja kama ya Hadija Kopa na Ommy dimpoz....wale ndio saiz yake aache kujilinganisha na mtabe Mondi Bin Laden

Hahaahaaa!.. Mkuu naona unatamani ilo lakini wanaojua kama hao AFRIMMA wamemuita kiba BEST MALE NOMINEE,na huyo Ommy ni chipukizi,kopa yeye ni best female...na sio kama ulivyotaka wewe wawe sawa...Damn!!!
 
Mkuu Sijakuelewa ujue kwani kitendo cha wao kuwekwa kwenye category moja yani "BEST MALE ARTISTE EASTAFRICA"...sasa hapo siwamekutana au umeelewaje labda?
Dah! Inawezekana kweli wamekutana lakini mmoja amekuwa nominated in 6 categories, mwingine kwenye single category...
 
kwa kigezo gani hadi kuwa kwwnye hiyo tuzo??? bora wangemuweka hata Rich Mavoko

Bhasi ndo hamna namna tena KIBA ameshaingia kwenye AFRIMMA AWARDS na huyo mavoko unayemsema hajawa nominated ata kwenye iyo KTMA2015 tu alafu aje atokee hapo kwenye "BEST MALE"..ama kweli chuki kidonda.
 
Wameona kuna kitu ndani yake wapi? East Africa? Angalau angekuwa nominated Best Male Africa ungeleta hizo mbwembwe... lakini kubwa kuliko yote, ndugu... wewe wa wapi wewe usiyefahamu maana ya collabo? Hivi huoni hata hao wasanii wakubwa wanatafuta collabo kwa ajili ya kujitanua? There's no way, kwa mfano, unaweza kuingia soko la Angola bila kufanya collabo na Msanii kutoka Angola unless uwe tayari upo juu dizaini za akina P Square! Hivi huoni akina DonaldInDenial wanapotafuta collabo na mt kama Diamond kwa ajili ya kupenya East Afrika? Usije ukajidanganya ukadhani huyo Kiba hazitaki hizo collabo... na yeye anazitaka sema hajazipata!! Achaneni na mawazo ya Ndondo Cup... think Big... think how to cross boundaries badala ya kufurahia sifa za kijinga ambazo hata huyo Kiba mwenyewe hazipendi! Haya mambo mengine msiwe mnaongea mbele za watu waungwana...
 
Hahaahaaa!.. Mkuu naona unatamani ilo lakini wanaojua kama hao AFRIMMA wamemuita kiba BEST MALE NOMINEE,na huyo Ommy ni chipukizi,kopa yeye ni best female...na sio kama ulivyotaka wewe wawe sawa...Damn!!!
Ndugu yangu... status ya King Kiba na Quuen Khadija ni moja kwa kuwa wakati King ni Best Male East Africa nominee, Queen yeye ni Best Female East Africa Nomineee... yaani wote wanapigani nomination ile ile lakini Status ya Ommy Dimple, hata kama ni Chipukizi, ni kubwa kuliko category ya King na Queen kwa kuwa Ommy ni Africa na sio huku East Africa! Hebu mpe shikamoo Ommy Dimple....
 
Hahaahaaa!.. Mkuu naona unatamani ilo lakini wanaojua kama hao AFRIMMA wamemuita kiba BEST MALE NOMINEE,na huyo Ommy ni chipukizi,kopa yeye ni best female...na sio kama ulivyotaka wewe wawe sawa...Damn!!!

Diamond ameitwa kwenye zipi?
 
Kwahiyo mkongwe anayechipukia nae kavuka boda this tym duh!

Yani hapo ilitakiwa kusema mkongwe bora wa kiume Africa mashariki na sio chipukizi ikiwa KTMA2015 hakuwekwa kwenye category ya chipukizi na ata hiyo AFRIMMA hajawekwa hapo kwenye chipukizi,sasa embu tupe vigezo vyako ulivyotumia kumuita ivyo labda???
 
best male wallah tunabeba cc hatuna category nyingi wala tuzo cc ni hapo nikiamka ni hapo na my best artist in africa wizkidayo


show me the money na johny zimeshinda itaweza ntampata wapi et best song haya #show me the money

Mkuu yani full burudani kwa kweli Mimi menyewe ni apo tu kwa kiba siku nzima sina pengine na kwa mda ambao wao wanaompigia MONDI kura 7 sehemu 7 Mimi nishapiga kura 14 sehemu 1 tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…