Mkuu me nakuelewa sana...sana maana ili CHIBU ajiakikishie ushindi wa tuzo zote 6,ilibidi tusigawanyike yani TEAMONDI NA TEAMKIBA wote tumuunge mondi mkono na ili hili lifanikiwe inabidi TEAMMONDI pia waungane na TEAMKIBA kumpigia kiba naye achukue ile moja...huku kwa pamoja pia tukiungana kuwapigia waTZ wengine ambapo MONDI NA KIBA hawapo na kwa namna hii ndo njia pekee ya kuzipata izi tuzo zote hapa TZ,tatizo teamondi wanajikuta sana...pasipo kupima nguvu ya upande wa TEAMKIBA ambao kwa hakika naamini MONDI alikuwa na uwezo wa kupata zile tuzo zote tatu za MTV's MAMA lakini kwa mpasuko huuhuu ulifanya jamaa arudi na tuzo moja tu home na kwa hakika kabisa kura za TEAMKIBA alizopigiwa davido ndo zimemzidi MONDI na kupelekea davido kuchukua ile BEST MALE wakati wote kwa pamoja tungemuunga mkono Mondi lazima tu angepata zote tatu amini usiamini na hilo wazo la TEAMMONDI kusema eti MONDI anamashabiki hadi nje ya TZ hivyo lazima atashinda tu ni kitu kisicho chakuamini sana na wachukulie mfano mmoja tu mbona hakuchukua zote za MTV's.???,kwani hao mshabiki wa nje kawapata leo hii????,teamondi wakubali wakatae nguvu ya TEAMKIBA imemdhuru MONDI kwenye MTV's MAMA,Na huo ndo ukweli halisi.kwa hiyo TEAMMONDI wachague wapate tuzo 6 kati ya zile 7 kwa kuungana na support ya TEAMKIBA uku nao wakimpigia KIBA ili apate ile moja pia AU Wasiungane na TEAMKIBA kumwezesha KIBA kupata iyo moja na wao wapate mbili au tatu kati ya zile 7.
-MY TAKE:Kuzuia hili lisitokee tena kwa Mara nyingine "WE HAVE TO PLAY THE GAME OF THE BENEFIT FOR OUR NATION"...tween these two bongofleva gangsters i.e KIBA & MONDI.