Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Zipi? Compile uweke ana kwa ana tuone. Alafu ujue mi ata arusha sipo lakini nikienda this time ntapiga picha kama washamba wa mwanza ili mtie adabu. mwanza kuna nini babu we
Kuna aliyekuzuia?
 
Jengeni mwanza barabara kama iyo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sisi hatuwezi Jenga barabara ya kishamba namna hyo ... Mwanza itajengwa city standard dual carriage na sio hyo ya kufanana na ya sumbawanga....
By the way,,, mantainance ya airport avenue ikikamilika,hyo dual carriage ya mchongo haitaona kitu [emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaijua nyanzaga wewe kiboga?. Geita na GGM unazijua kweli??. Utasemaje daraja haliko strategic. Utakuwa mpumbavu mmoja shoga tu.
Lile daraja ni upumbavu wa lile jitu mwendazake na ukabila wake kupendelea kwao na kuacha sehemu zenye kuleta maendeleo kama kaskazini. Unajua ukiitenga Arusha umemtenga Mungu, ndio maana Samia anapambana kuakikisha hii kanda ya kaskazini inapewa kipaumbele cha kutosha maana ndipo roho ya nchi ilipo. Tukubali tu kuwa hili taifa bila Arusha ni sawa na mwili bila kichwa. Ukitaka kuamini chukua Arusha peleka apo Rwanda au apo Kenya tu uone nchi itakavyotumbukia kwenye umasikini kuliko huu uliopo sasa.

Mfano hai mmoja tu ni kwamba mweiz machi wachina watakuja kurekodi movie maalumu ya maadhimisho ya miaka 60 ya madakitari wa kichina barani Africa. Tukio hilo litafanyikia Arusha ikiwa eneo maalum kimkakati na kibiashara. Movie iyo itarushwa live kwenye television ya kichina ambapo zaidi ya watu billion+ wanatarajiwa kuiona.

Imagine raia Billion moja wanaitizama Arusha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Je wakati huo shamba city muko wapi? Apa sijaandika kwa lengo la kuwabeza., bali kuwaonesha ukubwa wa jiji kama A Town.

Arusha to the World 🌎 I🌎🌎
 
Huu Ujinga Ndio ulio tawala Vijana wengi Wasio Jitambua
Yaani Mtu kama huyu Anaandika Upumbavu na wapo wanao Msapoti!
Ukanda na Ukabila Nihatari sana
 
Tuliwaambia watu wa Arusha,,Kwa mwanza bado sana ,,lakin ubishi umewajaa ...
Hii figure inaonyesha mkoa Gani wenye magari mengi [emoji116]View attachment 2526864

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo gari kwako ndio maendeleo?! Kweli shamba city munazingua 🀣🀣🀣🀣 vipi kuhusu maisha ya mutu mmoja mmoja mbona umasikini umewajaa pamoja na was lile jitu mwendazake kuwapendelea?
 
Huu Ujinga Ndio ulio tawala Vijana wengi Wasio Jitambua
Yaani Mtu kama huyu Anaandika Upumbavu na wapo wanao Msapoti!
Ukanda na Ukabila Nihatari sana
Umesahau ukanda aliofanya lile jitu mwendazake? Kuteketeza pesa za serikali kwa kujenga kiwanja cha ndege kisicho na faida yeyote kwa ninyi wafugaji masikini wa uko shamba city
Halafu unaweza ujinga? Kutangaza vivutio vya utalii ni ujinga? Kweli wasukuma munatabu sana ushamba mzigo sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nliambiwa siku hizi kuna wehu wanasmart phone.
 
DODOMA si kanda ya ziwa. Zile interchanges zipo simiyu.Pwani si ni geita na hio barabara hapo kwenu polini alijenga baba ako.

Acha ujinga kijana.
 
Kama sio ushabiki, lile daraja huwezi kuliita upumbavu.

Shida ni kwamba hamtembei, muuza matunda utajuaje umuhimu wa miuondombinu mbalimbali nchini?

Mkiuza matunda huko Chuga mnaona hakuna umuhimu wa mengine kufanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…