Unataka tushangilie meno yako?Mnashangilia infrastructure? Washamba bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka tushangilie meno yako?Mnashangilia infrastructure? Washamba bana.
Kuna aliyekuzuia?Zipi? Compile uweke ana kwa ana tuone. Alafu ujue mi ata arusha sipo lakini nikienda this time ntapiga picha kama washamba wa mwanza ili mtie adabu. mwanza kuna nini babu we
Kwani hata hivyo kuna shida gani kutuma picha hiyohiyo kila siku?Nimekujibu picha yako
Jengeni mwanza barabara kama iyoHata hyo dual carriage yao ,haivutii Tena,, garden zimechoka ,lami imeanza kupauka ,,,,,,,naamini makongoro avenue ikiwekewa taa itapendeza zaidi kuliko hyo road ya tengeru
Sent using Jamii Forums mobile app
Cbd unajibuje na residential area?Nimekujibu picha yako
Kwani ile uliyopost ni Cbd?
Sisi hatuwezi Jenga barabara ya kishamba namna hyo ... Mwanza itajengwa city standard dual carriage na sio hyo ya kufanana na ya sumbawanga....
[emoji28][emoji28][emoji28]akijibu nitaggKwani ile uliyopost ni Cbd?
Samahani nataka kujua jinsia yako tafadhali.Zipi? Compile uweke ana kwa ana tuone. Alafu ujue mi ata arusha sipo lakini nikienda this time ntapiga picha kama washamba wa mwanza ili mtie adabu. mwanza kuna nini babu we
Lile daraja ni upumbavu wa lile jitu mwendazake na ukabila wake kupendelea kwao na kuacha sehemu zenye kuleta maendeleo kama kaskazini. Unajua ukiitenga Arusha umemtenga Mungu, ndio maana Samia anapambana kuakikisha hii kanda ya kaskazini inapewa kipaumbele cha kutosha maana ndipo roho ya nchi ilipo. Tukubali tu kuwa hili taifa bila Arusha ni sawa na mwili bila kichwa. Ukitaka kuamini chukua Arusha peleka apo Rwanda au apo Kenya tu uone nchi itakavyotumbukia kwenye umasikini kuliko huu uliopo sasa.Unaijua nyanzaga wewe kiboga?. Geita na GGM unazijua kweli??. Utasemaje daraja haliko strategic. Utakuwa mpumbavu mmoja shoga tu.
Huu Ujinga Ndio ulio tawala Vijana wengi Wasio JitambuaLile daraja ni upumbavu wa lile jitu mwendazake na ukabila wake kupendelea kwao na kuacha sehemu zenye kuleta maendeleo kama kaskazini. Unajua ukiitenga Arusha umemtenga Mungu, ndio maana Samia anapambana kuakikisha hii kanda ya kaskazini inapewa kipaumbele cha kutosha maana ndipo roho ya nchi ilipo. Tukubali tu kuwa hili taifa bila Arusha ni sawa na mwili bila kichwa. Ukitaka kuamini chukua Arusha peleka apo Rwanda au apo Kenya tu uone nchi itakavyotumbukia kwenye umasikini kuliko huu uliopo sasa.
Mfano hai mmoja tu ni kwamba mweiz machi wachina watakuja kurekodi movie maalumu ya maadhimisho ya miaka 60 ya madakitari wa kichina barani Africa. Tukio hilo litafanyikia Arusha ikiwa eneo maalum kimkakati na kibiashara. Movie iyo itarushwa live kwenye television ya kichina ambapo zaidi ya watu billion+ wanatarajiwa kuiona.
Imagine raia Billion moja wanaitizama Arusha 😀😀😀😀
Je wakati huo shamba city muko wapi? Apa sijaandika kwa lengo la kuwabeza., bali kuwaonesha ukubwa wa jiji kama A Town.
Arusha to the World 🌎 I🌎🌎
Kwaiyo gari kwako ndio maendeleo?! Kweli shamba city munazingua 🤣🤣🤣🤣 vipi kuhusu maisha ya mutu mmoja mmoja mbona umasikini umewajaa pamoja na was lile jitu mwendazake kuwapendelea?Tuliwaambia watu wa Arusha,,Kwa mwanza bado sana ,,lakin ubishi umewajaa ...
Hii figure inaonyesha mkoa Gani wenye magari mengi [emoji116]View attachment 2526864
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau ukanda aliofanya lile jitu mwendazake? Kuteketeza pesa za serikali kwa kujenga kiwanja cha ndege kisicho na faida yeyote kwa ninyi wafugaji masikini wa uko shamba cityHuu Ujinga Ndio ulio tawala Vijana wengi Wasio Jitambua
Yaani Mtu kama huyu Anaandika Upumbavu na wapo wanao Msapoti!
Ukanda na Ukabila Nihatari sana
Acha kupaniki shamba city boy 😂😂😂Kama haujapata majibu usiniquote, piga ua hatulingani uelewa wa haya tunayojadili hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nliambiwa siku hizi kuna wehu wanasmart phone.Lile daraja ni upumbavu wa lile jitu mwendazake na ukabila wake kupendelea kwao na kuacha sehemu zenye kuleta maendeleo kama kaskazini. Unajua ukiitenga Arusha umemtenga Mungu, ndio maana Samia anapambana kuakikisha hii kanda ya kaskazini inapewa kipaumbele cha kutosha maana ndipo roho ya nchi ilipo. Tukubali tu kuwa hili taifa bila Arusha ni sawa na mwili bila kichwa. Ukitaka kuamini chukua Arusha peleka apo Rwanda au apo Kenya tu uone nchi itakavyotumbukia kwenye umasikini kuliko huu uliopo sasa.
Mfano hai mmoja tu ni kwamba mweiz machi wachina watakuja kurekodi movie maalumu ya maadhimisho ya miaka 60 ya madakitari wa kichina barani Africa. Tukio hilo litafanyikia Arusha ikiwa eneo maalum kimkakati na kibiashara. Movie iyo itarushwa live kwenye television ya kichina ambapo zaidi ya watu billion+ wanatarajiwa kuiona.
Imagine raia Billion moja wanaitizama Arusha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Je wakati huo shamba city muko wapi? Apa sijaandika kwa lengo la kuwabeza., bali kuwaonesha ukubwa wa jiji kama A Town.
Arusha to the World [emoji289] I[emoji289][emoji289]
DODOMA si kanda ya ziwa. Zile interchanges zipo simiyu.Pwani si ni geita na hio barabara hapo kwenu polini alijenga baba ako.Umesahau ukanda aliofanya lile jitu mwendazake? Kuteketeza pesa za serikali kwa kujenga kiwanja cha ndege kisicho na faida yeyote kwa ninyi wafugaji masikini wa uko shamba city
Halafu unaweza ujinga? Kutangaza vivutio vya utalii ni ujinga? Kweli wasukuma munatabu sana ushamba mzigo sana
Ivi tugorofa tuwili ndio kunakupa kiburi 🤣🤣🤣 aise basi mbeya ni bora mara kumi ya shamba city 🤣🤣🤣
Leta hoja apa acha kuleta mbambamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nliambiwa siku hizi kuna wehu wanasmart phone.
Kama sio ushabiki, lile daraja huwezi kuliita upumbavu.Lile daraja ni upumbavu wa lile jitu mwendazake na ukabila wake kupendelea kwao na kuacha sehemu zenye kuleta maendeleo kama kaskazini. Unajua ukiitenga Arusha umemtenga Mungu, ndio maana Samia anapambana kuakikisha hii kanda ya kaskazini inapewa kipaumbele cha kutosha maana ndipo roho ya nchi ilipo. Tukubali tu kuwa hili taifa bila Arusha ni sawa na mwili bila kichwa. Ukitaka kuamini chukua Arusha peleka apo Rwanda au apo Kenya tu uone nchi itakavyotumbukia kwenye umasikini kuliko huu uliopo sasa.
Mfano hai mmoja tu ni kwamba mweiz machi wachina watakuja kurekodi movie maalumu ya maadhimisho ya miaka 60 ya madakitari wa kichina barani Africa. Tukio hilo litafanyikia Arusha ikiwa eneo maalum kimkakati na kibiashara. Movie iyo itarushwa live kwenye television ya kichina ambapo zaidi ya watu billion+ wanatarajiwa kuiona.
Imagine raia Billion moja wanaitizama Arusha 😀😀😀😀
Je wakati huo shamba city muko wapi? Apa sijaandika kwa lengo la kuwabeza., bali kuwaonesha ukubwa wa jiji kama A Town.
Arusha to the World 🌎 I🌎🌎