OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mwanza kuna maendeleo gani wakati takwimu zinaonesha ninyi ni masikini munaishi kwa misaada ya serikali.?!Em tuambie hayo maendeleo mwanza yapo sabab ya magu hali yakuwa sehem nyingine hayapo?
Nimekuuliza kina Msuya walijenga kaskazini wao hawakuwa wakabila?Mkuu ukabila aliuleta yule mwendazake kwa kugawa maendeleo huku na kuacha kule
Iyo Chugastan pekee huelewi nini apo uko kwingine ni chini ya 1%😂😂😂
Bado hujaelewa tu?! Unazani daraja za busisi ukiacha sababu za kiuchumi lina msaada kuliko daraja la kigamboni?!Mijitu ya namna hii inanishangaza sana. Busis sio kama la kigamboni how tueeleze tukuelewe
Unaleta mbambamba wakati huna hoja em tuliza akili mkuu.Hujitambui hata unachoandika, nimeamua kuku-ignore.
Bora sisi misaada ya serikali nyinyi mnahudumiwa na serikaliMwanza kuna maendeleo gani wakati takwimu zinaonesha ninyi ni masikini munaishi kwa misaada ya serikali.?!
Nukuu.."Mkuu ukabila aliuleta yule mwendazake kwa kugawa maendeleo huku na kuacha kule"Mwanza kuna maendeleo gani wakati takwimu zinaonesha ninyi ni masikini munaishi kwa misaada ya serikali.?!
Una hakika Msuya hakupeleka maendeleo mwanza?!Nimekuuliza kina Msuya walijenga kaskazini wao hawakuwa wakabila?
Bora hata Magu kawajengea daraja la Wami, miradi wa maji 500b, barabara ikiwemo hiyo ya njia nne, kina Msuya hawakujenga chochote kanda ya ziwa achilia mbali mza.
Sasa nani wakabila hapa?
Ndio uyaseme sasa.Una hakika Msuya hakupeleka maendeleo mwanza?!
Namaanisha pamoja na upendeleo muliopata kwa mwendazake bado haijapunguza umasikini uliopo apo mwanza mkuu.Nukuu.."Mkuu ukabila aliuleta yule mwendazake kwa kugawa maendeleo huku na kuacha kule"
Kwaio ulivosema mwendazake alipendelea maendeleo kuleta mwanza ulikua unamaanisha maendeleo gani?
Aliiba tuUna hakika Msuya hakupeleka maendeleo mwanza?!
Daraja la kigamboni linaunganisha watu wangap. Ujui kama busis ni kiunganishi cha geita, bukoba, kigoma mpaka Uganda au unajiweka flight modeBado hujaelewa tu?! Unazani daraja za busisi ukiacha sababu za kiuchumi lina msaada kuliko daraja la kigamboni?!
#ELIMUNamaanisha pamoja na upendeleo muliopata kwa mwendazake bado haijapunguza umasikini uliopo apo mwanza mkuu.
nini? Mwanza maji safi tu ni tatizo wakati muna Lake Victoria, vyoo bado ni tatizo watu wanaenda kuny@ ziwani..mumebaki kuzaliana tu ndio maana munageuzwa wapiga kura kila mwanasiasa mgombeya uraisi anakimbilia uko maana anauhakika wa kupata kura lakini maendeleo sifuriAliiba tu
Sasa munashindwa kutumiya rasilimali watu kujiletea maendeleo adi serikali iwaletee?!#ELIMU
Sehem yeny watu weng sio ajabu kukuta maskin weng. Kanda ya ziwa ndo sehem yenye watu weng nchini ulitak idadi ya maskini ifanane na kaskazin. India inamaskini weng ila ni nchi tajir
Kisha uje na mikoa tajir zaid TanzaniaAliiba
nini? Mwanza maji safi tu ni tatizo wakati muna Lake Victoria, vyoo bado ni tatizo watu wanaenda kuny@ ziwani..mumebaki kuzaliana tu ndio maana munageuzwa wapiga kura kila mwanasiasa mgombeya uraisi anakimbilia uko maana anauhakika wa kupata kura lakini maendeleo sifuri
Kutoka Geita adi mwanza bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Kutoka mwanza mjini adi bukoba bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Umuhimu wa daraja apo uko wapi? Mwendazake alitumia utashi wake tu maana alikuwa hashauriki.Daraja la kigamboni linaunganisha watu wangap. Ujui kama busis ni kiunganishi cha geita, bukoba, kigoma mpaka Uganda au unajiweka flight mode
Mwanza iko hivyo ilivyo sabab ya watu wa mwanza ni mahustler. Serikali mchango wake ni mdgoSasa munashindwa kutumiya rasilimali watu kujiletea maendeleo adi serikali iwaletee?!
Nyinyi upendeleo mliopata toka uhuru umewasaidia niniNamaanisha pamoja na upendeleo muliopata kwa mwendazake bado haijapunguza umasikini uliopo apo mwanza mkuu.
Wewe maendeleo gani umefanya?Sasa munashindwa kutumiya rasilimali watu kujiletea maendeleo adi serikali iwaletee?!
Kwani kutoka dar mpaka kigamboni ni mwendo wa masaa mangapi bila daraja, au umeshavuta?Kutoka Geita adi mwanza bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Kutoka mwanza mjini adi bukoba bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Umuhimu wa daraja apo uko wapi? Mwendazake alitumia utashi wake tu maana alikuwa hashauriki.