Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

🀣🀣🀣 mwanza kwa washamba na masikini haya sasa na hapa sio Capri point,isamilo,nyasaka,mwananchi,buswelu,nyamhongolo,kiseke,ilemela wala nyegezi majengo mapya
Watu wa Mwanza ni vile hatupendi keleleπŸ˜„ kuna kijiji kinaitwa njiro kuna apartments hadi 30k
 
Hizo ghorofa zimesambaa kama vidole vya bata. Sasa we kwa akili yako unaweza fananisha njiro na capripoint? Yani kapripoint ndio mwisho wenu yani kwa ujanja wakati hakuna maajabu.
 
Alafu hii tabia ya mwanza kuongea kilugha kwenye daladala mnatuaibisha bhana jiji au kijiji hicho
Kwamba Chuga mnaongea kingereza,Kifaransa na kispaniola kwenye viford vyenu muda wote [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanza mtaogelea kwenye mavumbi snaa
Waulize njiro wanavyokula vumbi kipindi hiki na wanavyokula tope kipindi Cha mvua. Tatizo lako hata Arusha hulijui unaokoteleza habari. Sisi tukija kwa mfumo huo utakimbia kwa mara nyingine. Tetea njombe na mikoa ya matakoni mwa Tanzania.
 
Mzee nakupa miradi unaleta porojo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waulize njiro wanavyokula vumbi kipindi hiki na wanavyokula tope kipindi Cha mvua. Tatizo lako hata Arusha hulijui unaokoteleza habari. Sisi tukija kwa mfumo huo utakimbia kwa mara nyingine. Tetea njombe na mikoa ya matakoni mwa Tanzania.
Njiro hakuna hata mtaa mmoja wenye makazi ya watu wenye lami. Ni aibu sana kwa jiji la Arusha. Hata alikohamia Gambo huko Njiro ni vumbi tupu na matope
 
Hizo ghorofa zimesambaa kama vidole vya bata. Sasa we kwa akili yako unaweza fananisha njiro na capripoint? Yani kapripoint ndio mwisho wenu yani kwa ujanja wakati hakuna maajabu.
[emoji1787][emoji1787] hapo sio Capri point ni bwiru moto wa Capri point anauweza masaki tu kwa hapa Tanzania

Capri point ni hii. hakuna vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…